Recent content by Mtu mzima Hovyo

  1. Mtu mzima Hovyo

    Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

    USHAURI: Kama unataasisi yako na unahitaji kuajiri, ajiri watu waliosoma private universities utakuja kunishukuru Kuna baadhi ya vyuo pu*lic vinawajenga wanafunzi wao katika mifumo ya kishamba sana
  2. Mtu mzima Hovyo

    Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

    Sema vijana tunaoneana wivu sana pia. Kila la kheri kwake mkuu wa wilaya
  3. Mtu mzima Hovyo

    Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

    Huna jeuri hiyo kijana kaa kwa kutulia ukingoja kifo chako
  4. Mtu mzima Hovyo

    Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

    Nasikitika kwanini aliwaacha wapuuzi kama nyie ilibidi muwekewe na pipe huko nyuma.
  5. Mtu mzima Hovyo

    Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

    Vipi ule mpango wa kuanzisha kundulisu City ulifikia wapi😃
  6. Mtu mzima Hovyo

    Waliokuwa wateule wa Magufuli waadhibiwe kwa nidhamu, wasidhalilishwe

    Ngumu sana kukwamisha kitu kisicho na mwelekeo maana kinaweza chepuka njia yeyote
  7. Mtu mzima Hovyo

    Wanaijeria wenye uraia wa Marekani wajitokeza kwa wingi kuliko wamarekani wenyewe, baada ya Marekani kutaka kuwa-evacuate raia wake

    Kwani marekani anahofia nini kuwaacha watu wake Africa kipindi hiki cha Corona🤔
  8. Mtu mzima Hovyo

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uzi umefikisha replies million moja na mimi mnipe like basi😎
  9. Mtu mzima Hovyo

    MSAADA KATIKA MAOMBI VYUO VIKUU

    Chuo gani unaomba mkuu
Back
Top Bottom