Recent content by MTU MKUU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi elon na starlink yake waliishia wapi kuja bongo, maana hawa providers wetu wanacheza michezo na mabando yetu

    Sasa hivi ukiingiatu Facebook tayari bando lako linaondoka kwa video hambazo hata wewe huziitaji. Zamani walikua wame weka Mfumo video mpaka uifungue lakini sasa hivi ni bando lakotu. Uliweka utazani umepulizatu gb1 sasa hivi ni kama upepotu. Kweli mabwanyenye wamekamata kila sekta.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Hivi sadaka Unatoa kwa mtu au kwa Mungu? Kama Unatoa kwa mtu basi ndio chanzo cha kutokuona matokeo ya sadaka zako. Nikuulize swali. Hivi kati ya Mungu na Kutoa michango ya Arusi na masherehe Ipi Bora. Hivi huyo Mungu Unaye lalamika kumtolea Akafinya hiyo pumzi unayo tumia Umesha jiuliza au...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Mjomba Kama wa kwako sio Mwaminifu Basi usimfananishe na Wengine. Watawa wapotu Mjomba. Na tuna wafuraia wame kuwa Baraka kwetu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Mbunge miaka 5 tu anavuta fao la 400M, Mtumishi wa umma daktari, mwalimu nk miaka 30+ hupata 100M. Hii siyo haki. Reforms hapa lazima

    Nchi kama. Japani. Mshahara wa mbunge ni mdogo sana. Hauzidi 2M lakini kwetu Africa siasa ni sehemu ya kutengeneza ukwasi. Hapa ndipo swala la katiba yenye kulenga wananchi inapo hitajika. Hatuwezi kubwa na taifa Ambalo Kuna watu wamejigawia keki yao na kuwaacha wengine mifupa mifupa mitupu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Ushauri wangu. Wewe ni kijana wa miaka 27 Bado una safari ndefu ya kujenga Maisha yako. Jenga Maisha kwanza focus na Maisha Jenga uchumi imara. Anza kufikiria Kuoa ukiwa na miaka 35. Ukiwa umetengeneza future. Kuhusu uyo mwanamke. Achana nae Atakuja kukusumbua uko mbele. Swala la uaminifu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

    Swali Mujarabu kabisa. Hapa ndipo Serikali Inapo jichongea kwa wananchi. Sisi kwa macho yetu tuliona MRADI WA kuwaunganishia gesi watu wa majumbani tena gesi hii yetu. Sasa kama Gesi yetu imeuzwa kwa mabeberu basi watuambietu. Na sio kutuongopea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nandy afafanua vazi la Miss Universe baada ya kikao na BASATA

    Naye si wale wale Mamba Anao wananga Mkuu. Wewe kama kidume kweli kweli Unaweza unamwachq Mkewako Aoneshe Utamu Adharani? Hizo ni Nguo za faragha na sio kuvalia Adhara Ukibakwa utamlaumu nani siku ukikutana na Wenda wazimu Ambao Macho yao Hayapiti na Utamu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania MADA: Uchambuzi: Sakata la Godbless Lema na Onyo kwa CHADEMA Kuhusu Mtego wa "Siasa za Kutenganishwa," Wanaharakati Mamluki, na Mateka wa Kifedha

    Udhaifu wa chadema ni kutokudhibiti nidhamu ya Wanachama. Hauwezi kuwa chama kikubwa bila kujenga nidhamu ndani ya chama. Ndani ya chama hajulikani nani msemaji wa chama kila mtu kambale. Hakuna nidhamu ya kuongea na kuwa na mipaka baina ya viongozi na Wanachama. Leo kadagaa kanaweza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Yuko wapi aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi?

    Labda Ataonekana kizimkazi Akienda Kutoa pole kwa MH Rais.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

    Atasingiziwaje Mkuu wakati wote anaishi nao chumba kimoja? Jamaa ni mtaaluma Usiku kucha ana pepeatu Aisee mtume aliwamilikisha pepo yao kabisa Hawa jamaa. 🤭
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

    Aisee yule ustadhi ni mtu na Nusu Make 3 watoto 17 Alafu wamefululiza rika jamaa Anapeleka moto Hatari. Waislam mko vizuri Aisee kwenye ibada ya Tendo mmetimiza nguzo ya Dini kabisa yaani una lala na bibi 3 unageuka uku na uko ni kupeleka moto kwa kwenda mbele 😂
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wakubadili gia angani

    Jamaa Aruditu sasa ccm Atulie amalizie uzee wake.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Uamuzi wa mahakama wa aidha Rais Samia, Philip Mpango (VP mstaafu) na Kassimu Majaliwa (PM mstaafu) waitwe kumtetea Lissu au la..

    Wana chadema msifuraie Hawa mabwana kuletwa mahakamani. Hii kesi iko kimkakati sana. Hawa ndio wanakwenda kupigilia msumari kwenye kesi hii. Ushahudi wao itakua na uzito Mkubwa na ndio itakua hukumu ya bwana Lisu. Ndio maana katiba mpya inatakiwa ili mihimili iwe huru.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

    Kwani chama changu kimeacha misingi ya kusema kweli daima na fitina kwetu mwiko? Maana naona kuna Anza kujengeka falsafa ya ukweli kuwa Adui wa chama.
Back
Top Bottom