Recent content by Mtu Kwao

  1. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

    Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile.. Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
  2. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati mzee Kawawa na Dkt Omari wamesahaulika kabisa

    Kwani kumbu kumbu ya Nyerere huwa inaandaliwa na serikali au familia?
  3. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati mzee Kawawa na Dkt Omari wamesahaulika kabisa

    Wazo zuri pia au itengwe siku 1 yakuwakumbuka wote kama marekani wanavyofanya
  4. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati mzee Kawawa na Dkt Omari wamesahaulika kabisa

    Kwa nafasi zao wakumbukwe
  5. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati mzee Kawawa na Dkt Omari wamesahaulika kabisa

    Salaam Kumekuwa na kumbukizi za viongozi wakuu wengi waliokwisha kutangulia mbele za haki kama vile Mwl. Nyerere, sokoine, mkapa na magufuli. Lakini sijawahi ona kumbukizi za hayati mzee Kawawa na Dkt Omari zikipewa kipaumbele na serikali sikumbuki kama ata tarehe za zinakumbukwa.. Dkt Omari...
  6. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Ila bongo Movie bana, eti mfungwa anavaa hereni!

    [emoji16][emoji23][emoji23]
  7. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

    Ujafika Moshi wewe
  8. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa miondombinu chuo kikuu Cha kilimo (SUA) na mazimbu campus

    Kwani SUA hawez kufanya miundombinu wenyewe Hadi wasubir Serikali maana Kama ni pesa wanapata ya kutosha kwenye miradi na Ada
  9. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

    Duuh
  10. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Wale tunaotaka kujiajiri tupite hapa

    Wazo zuri
  11. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

    Z[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  12. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

    Pesa ipo Ila Basi tu naona usumbufu pia usalama mdogo unaweza dunguliwa na sniper
  13. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

    Me naona usumbufu Wapanda shuka
  14. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

    Ni kweli asee Ile panda shuka inachosha
Back
Top Bottom