Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

Salaam!

Nipo morogoro hapa Ila asee katika ya miji niliyofika Basi Morogoro ndo wanausafiri wa umma (daladala) zimechoka sana na kuchaka na ubovu.
Baadhi ya daladala ata baadhi ya viti hamna milango haifungi vizuri Yani hii ni hatari kwa abiria.
Sijui mamlaka sinaruhusu vipi hili swala

Mamlaka mnaohusika na hili mlishughulikie.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Naunga hoja,na pia mipango mibovu sijawahi ona.
Hivi bajaji za sua kituo NI soko la kingaru.
Bajaji za bigwa,kihonda baadhi ni sheri.
Bajaji nyingine NI juwata
Yaani huu mji aliyeulaani,kafa
 
Naunga hoja,na pia mipango mibovu sijawahi ona.
Hivi bajaji za sua kituo NI soko la kingaru.
Bajaji za bigwa,kihonda baadhi ni sheri.
Bajaji nyingine NI juwata
Yaani huu mji aliyeulaani,kafa
Ivi aliye amua bajaji zipaki pale juata alikuwa ana akili AU matope kichwani
 
Moro kupitia CCM imekumbatia viongozi wenye elimu ndogo,vitina ,majungu, ndio maana mji miaka nenda Rudi uko vile vile
 
Hii Manispaa ya Morogoro ni hovyo sana!! Hawa jamaa hawajengi barabara za rami za mitaani tofauti kabisa na Halmashauri za Manispaa zingine! Sijui viongozi Mbunge, Meya, Madiwani na Mkurugenzi wanawaza nini!!? Hata hawana. Uchungu kabisa na Wananchi wao. Hebu Nenda Manispaa za Tabora na Kigoma Barabara za rami kibao Mitaani. Uongozi wa Manispaa mjitafakari. Huduma za jamii mbovu sana Angalia Maji ni shida. Ningelikuwa Rais ningelivunja Baraza la Madiwani Manispaa Morogoro na kumvua ubunge huyu Abood.
[emoji36][emoji36][emoji36]
Moro town ni mji poa sana kilakitu kinapatikana mzunguuko wa pesa, misosi yakumwaga, matunda, mbogamboga, wanafunzi wa vyuo vikuu wakigraduate % kubwa hawarudi walikotoka fursa kibao.

Miundombinu ni tatizo Bajaj na Boda zinapiga kazi kamakawaida.
 
gari za kwenda wapi zimechoka sana huko moro? Maana dar kwenyewe kuna daladala ukipanda tu mikelele mwanzo mwisho
Dar zipo Ila wanajitahidi sana kuziboresha maana kukaguliwa nje nje kwa hio wanakua makini Sana hawachelewi kupigwa mkono
 
Back
Top Bottom