Recent content by Mtu Fodontino

  1. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

    wale wanaotengeneza juice quality wanapiga sana hela kkoo pale hapachagui hapabagui demu hata akiwa mzuri au mbovu hawezi kwepa mishale yote mawinga na matajir wanachapa tu
  2. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Ipi simu yenye kamera nzuri kwenye low light budget ya 350k mpaka 700k used?

    Nina S23 ULTRA small Display finger ipi kwa hiyo 700k chap unapata simu kali
  3. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo sababu 5 kwanini Telegram ni bora mara 100 kuliko WhatsApp

    Fact Telegram ndo maana hata mambo meusi kule ni kibao Telegram ina ulinzi madhubuti
  4. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

    Bongo inatakiwa ku enjoy ukiwa mzima ukianza kuumwa kwa vipimo hivyo lazima udanje mapema
  5. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Uwinga wa Kariakoo: Kazi Inayodharauiwa Lakini Inawalipa Zaidi ya Madaktari(elimu ya uwinga)

    Wateja wa Facebook hawanyooka hata kidogo wanapenda sana vitonga ndo maana wanatapeliwa daily
  6. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania TBS mko wapi pombe feki zimetapakaa mtaani?

    Tatizo watumiaji nao ku scan hawataki kabisa
  7. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

    Kijana wa miaka 35 unamwita mtoa laana mwenzio mshangazi😂😂
  8. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inakuwaje duka Moja la simu Kuna wauzaji zaidi ya 20

    Mimi ni winga wa Kariakoo tena usilete dharau hapo ndipo tunapatia Hela ya ugali
  9. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    Pambana mkuu
Back
Top Bottom