Recent content by MTRANSPARENT

  1. M

    JamiiForums Tanzania Machali na Mkosamali wafuta kumbukumbu ya Zitto bungeni

    Tuliwaambia muwatafitie majimbo hko machame, nadhan yashapatikana coz waha washafanya yao tafadhalin msiwaache coz wapo vzr lkn kwa maendeleo ya Kg hawatufai. ZZK atoshaaaaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

    Walimsifia saana kafulila kumbe wanakigoma wamempimia tu anavojfaragua na hao wachaga na kumsahau ZZK, wakamwambia atafutiwe jmbo Kilimanjaro akadhan masihara sasa waha washafanya yao alete zle kelele za mara tuzo mbunge bora oooh
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Acha mawazo mgando fanya kaz
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini naichukia ACT Wazalendo?

    ACT ndo hbr ya mjn mafisad tutawafyeka wote, hatutasamehe mafisad wajiandae
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Kwan ccm waliwahi kusema kuwa magufuli kahonga nyumba!?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    Mkurugenzi usalama wa taifa unajua alipo? Au yeye haumpendi? Au n yeye usingependa kujua yupo wap ila kwa kua unataka kujua ya mkuu wa majeshi ndo unaishinikiza serkal!!! TAKA YAKO KWAO TAKATAKA na muache upumbavu, ivi yale maandamano ya Rombo lini tena ama kwa kua ulikosa ubunge CDM ndo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Pombe Magufuli, ashindwa kutokea kwenye Mdahalo wa Urais wa Tanzania

    Magufuli yupo sahihi simlaum
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Pombe Magufuli, ashindwa kutokea kwenye Mdahalo wa Urais wa Tanzania

    Alikua na nia ya kummaliza lowasa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu Tunduma: Vijana Wawili wapoteza Maisha

    Na ccm wanasema ivo ivo alaf et mnataka mkarinde kura wapuuz wakubwa pigen kura changanya mbaliga nyumbaniii
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu Tunduma: Vijana Wawili wapoteza Maisha

    Unauhakika gan kama vurugu zmeanzishwa na ccm?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada sim yangu inasumbua android system

    Asante mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada sim yangu inasumbua android system

    Wanabod, nnasim yangu htc1 M8 inasumbua. Inaniandikia unfortunately measure has stopped, adobe air has stopped na pia avast mobile inanambia imeditect problem ambazo ndo izo izo zmezotajwa apo juu. Jaman kwa mwenye utaalam anisaidie coz ata raha ya smart fon inapotea na pia inaatack mno yaan...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

    ha ha ha haaaa kwa kwel hilo n tatzo upinzan kuogopa mdahalo itakua kali ya miaka duu kwel lowasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ufisadi ni agenda endelevu

    kuna lifisad papa linatishia uhai wa taiga likishika madaraka
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ufisadi ni agenda endelevu

    ampe wakat mgumu nan? issue n kwamba chama cha upinzan kimekua top ya ufisad kitu kinachopoteza iman ya wananchi kwa vyama vya upinzan
Back
Top Bottom