idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Kwani chama pekee cha siasa ni CHADEMA tu?
Kwa akili hizi ccm itaendelea kutawala tu....
Kwani chama pekee cha siasa ni CHADEMA tu?
Zitto kwa upande wangu mimi ckuamini na ctakuja nikuamini ww ni kikwazo kikubwa cha harakati za kumkomboa mtanzani maskini wa leo hii hivyo hufai na hutatufaa. Ww mwenyewe ni mmbadhilifu (fisadi mkubwa) ulipewa hela na ccm ili uivuluge chadema tena pesa nyingi ukashindwa, Kweli wa tz cjui ni njaa au ujinga, kweli wako watu wanaambatana na Zitto et wanajiita wao Act Zitto huyu huyu ambae anamkataba tayri na ccm kwamba hatakuwa kikwazo sana dhidi ya ccm
Si uchague Hashim Lungwe au Anna Ngwihira ACT achana na Edo hiyo ni habali ingine.Tatizo ni kuwa CHADEMA wameamua kumuajiri FISADI PAPA EDWARD LOWASSA na kujaribu kumsafisha ingawa inaelekea imeshindikana. Kwa hiyo ufumbuzi wao ni KUACHA KUONGELEA UFISADI MOJA KWA MOJA.
Sikujuaga kumbe kuna akina mwaipaja wajinga hivi
kosa lako au tatizo lako ni kuwa haujui lolote lile; unaamini unavyoyasikia na kuyaona!! wala hauna uwezo wa kufikiri wala kujua nyuma ya pazia
Ungekuwa na akili timamu....unaosema wanaleta mabadiliko ukweli ni kuwa 'lengo lao limekutana na tamaa zako'
there are times in life when your problems/need are actually my opportunity...a golden one
kama unaishi na utakuwepo, nitakuuliza swali hili au nitataka urudie post hiyo miaka mitano ijayo
kamwe usije kuwaza na kufikiri ubovu wa CCM ndio ubora wa chadema! na kamwe usiwaze unaoambiwa wasaliti na popo ndio ukweli walivyo
siasa iko zaidi ya hivyo
Hauwezi kufananisha credibiltity au usafi wa zitto na mpinzani yeyote kwa sasa hivi............kibaya hao wachafu ndio waliowaaminisha mnayoyaamini
ungekuwa na akili kidogo tu, ungenipa analysis ya kazi za zitto bungeni na usaliti wake....kama vinakuingia akilini
uswe abhanyakyusa tukumila mibhalagha tuli na mahala fijo....ugwe kwa kughu??
Tatizo ni kuwa CHADEMA wameamua kumuajiri FISADI PAPA EDWARD LOWASSA na kujaribu kumsafisha ingawa inaelekea imeshindikana. Kwa hiyo ufumbuzi wao ni KUACHA KUONGELEA UFISADI MOJA KWA MOJA.
Ugwe kwa kugu nkamu?
Tunaamini kwa kusikia na kuona,na tuna hoji kwa sababu sio mahaba...! Muombe Mungu akufunulie juu ya uyo unae amini ni msafi...haya mambo magumu nkamu.
Mjue vema MTU au jambo kabla ya kujiweka dhamana.
Ugwe kwa kugu nkamu?
Tunaamini kwa kusikia na kuona,na tuna hoji kwa sababu sio mahaba...! Muombe Mungu akufunulie juu ya uyo unae amini ni msafi...haya mambo magumu nkamu.
Mjue vema MTU au jambo kabla ya kujiweka dhamana.
Hahahaha chuki binasfi hizo kuna sela nying za kuongelea Edo ni nan?? Mbona anawapa wakati mgumu hvi??
Wenzako hata ile listi ya mafisadi wameiondoa kwenye tovuti yao, alafu wewe unataka waizungumzie issue ya ufisadi, Chadema ya leo ni Pro - UFISADI
Jana walikuambia Lowassa ni FISADI Ukaamini,leo umeambiwa tena sio fisadi na watu wale wale-UMEAMINI.Uliambiwa SLAA ni rais wa mioyo ya watanzania ukaamini na leo umeambiwa ni msaliti Dr mihogo-UMEAMINI,Uliambiwa MACHALI,KAFULILA ni sisimizi.NCCR ni CCM maana Mbatia mteule wa kikwete na CUF ni mashoga na CCM B ukaamini na leo umeambiwa ni MASHUJAA-UMEAMINI. Hivi wewe kichwa chako unatumia KUFUGIA NYWELE TU?
Mko busy sana na mambo ya UKAWA mpaka mnasahau au kutelekeza yakwenu...
Nachunguza Ukweli wa Maneno Yako MkuuChama cha upinzani wa kweli Tanzania ni ACT pekee
yakhhheeeee kula like bilioni moja
ZITO KABWE katika ubora wake nawaomba wanakigoma mjini mrudisheni bungeni kijana akawape kibano mafisadi wa hii nchi