Recent content by mtotowatatu

  1. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Yaani kabisa wamuue Lisu? Hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Huyo haijui tamu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Je ninaweza kuishitaki CWT? Kwa kutotimiza wajibu wake kwangu?

    Wasalaamu wakuu?. Kuna swali linanitatiza kidogo ..najiuliza kwamba mimi ni mwanachama wa CWT (CHAMA CHA WALIMU TANZANIA) na hvyo ninakatwa 2% ya mshahara wangu kila mwezi kwa ajili yao. Tatizo ni kwamba hawatimizi wajibu wao kwangu kama., kupigania maslah yangu kama mwl, kulinda hadhi yangu...
  4. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Gorofa 1 ya TRA Chato ijengwe kwa bil 1.4 wakati Gorofa 4 UDSM zilijengwa kwa Mil 500?

    Mbona mheshimiwa, alishatupa mechanism rahisi ya kumweleway, tumwombee tu
  5. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    Anae lalamika kuibiwa ndiye anaeunda tume ya kuchunguzwa anaibiwa kiasi gani, ulitegemea majibu gani ndugu
  6. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Transfers Talk Special Thread 2017/18

    Nimeskia bocco katua simba sjui anatafuta nini
  7. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Gambo, kama ni mkusanyiko usio halali mbona wafiwa umewaacha?

    Msiba hauozi Bwana mdogo, subiri na wwe yakupate halfu ulete mrejesho hapa
  8. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Lushoto azuia shule zisifungwe kwa muhula wa kwanza

    Tegemea wanafunzi wengi kfeli hiyo wilaya maana walimu hawajaridhia maana huwezi kuwa motivate watu kwa kufanya mambo wasiyo hitaji ila kwa kufnya wanayohitaji, tatizo hao wakurugenz wengi hata elimu ya management hawana
  9. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2017

    Vp mheshimiwa atahutubia?, nijiandae kuhama nchi
  10. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu: Ni makosa ya kiufundi au ndio Double Standard?

    Kama ni kweli ndo tuseme wao ni special kuliko wengine?,
  11. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mbowe waliyoidharau wabunge wa CCM imeanza kupata majibu

    Dereva wa lori ana leseni ya guta
  12. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu kaeleza changamoto za shule, kapata misaada, kashushwa cheo

    Ni Nature ya utawala wa awamu ya tano, kama walikatazwa kusema kuna njaa utashaangaaje kushushwa cheo kwa kusema shule ina changamoto.. Tukubali katika awamu hii uongo ni daraja na ukweli ni ajali.
  13. mtotowatatu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampigia simu MwanaFA na kumwambia anapenda kazi zake hasa Wimbo wa Dume Suruali

    Majina ya watoto yanasadifu matendo yao, usije kumuita mtoto pombe
Back
Top Bottom