Recent content by Mtoto wa kitaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katoto kadogo kalikuwa kananiita Anko alafu nirekebishe, hapana

    Angekuwa mgumu ungealalamika,sasa kakubali unasema amekuwa cheap ,AMA KWELI KIPOFU KAONA MWEZI, ungekataliwa ungekuja na thread nyingine ya kuomba ushauri sasa ulitakaje akuzungushe ale vivocha vyako ndo akukubali .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

    kumbe linataka kula tigo lipotezee.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Katoto kadogo kalikuwa kananiita Anko alafu nirekebishe, hapana

    Mkuu utamalizia saa ngapi hadithi yako mbona fupi hivyo au ndo zile hadhithi fupi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania wanawake siyo.

    Unaweza kukuta mwanamke alikuwa mshamba ata kutumia lotion ajui kafundishwa jeuri ya kuishi mjini ,nae anakuwa mjanja zaidi mshauri jamaa achape lapa ,wanawake wako wengi kitaa wanatafta wa kuwaoa amwache agange njaa akome na jeuri yake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania wanawake siyo.

    Mkuu ,kwanza nimpe pole jamaa yako kwa kupata kimeo ,huyo demu anaweza kumsababishia matatizo mengi si mwanamke wa kuoa kama angekuwa wa kuoa angeonekana mapema kuna wanawake katika jamii ni wazuri lakini sio wife material wapo wapo tu mitaani wanatumiwa na kuacha inawezekana akawa ni miongoni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania nimerudí mpigamsuli

    Huko kwema mkuu .
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni jamani

    Karibu uone yaliyondani.
  8. M

    JamiiForums Tanzania mwanafunz amkata girlfriend wake kichwa baada ya kufanya nae mapenzi ( Tahadhari picha inatisha)

    Huu ni unyama na Ukatili ulikisili .
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini pilau tu katika x- mass?

    Mi nikila pilau kwa njegere nafurahi sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari: Kwa mnaojua kiswahili fasaha

    Kinyama,kinoma na kisenge yanawezekana yakawa na maana moja .
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu:siku kuhesabiwa.

    acha uwongo weka source.
  12. M

    JamiiForums Tanzania hivi mama mjamzito kuwa kiburi na dharau kwa mumewe ni natural au ni tabia yake?

    kweli duniani watu tuko tofauti sana mambo gani mnayoandika humu mtu ukitulia bila kuandika chochote utapungukiwa, maswala mengine mtu unatakiwa kuwa serius kama wewe unaona sio tatizo si ukae kimya ,usipende kuchafua hali ya hewa humu, mtu anatatizo anaitaji ushauri mtu anamwandikia utumbo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

    Kuwa muwazi zaidi tueleze kinabagaubaga nini kimekusibu mpaka unataka kuacha huyo jamaa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

    mi msafi mbona.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Help me get out of this!!!!

    Pole sana mkuu ,mara nyingi ili tatizo unalisababisha wewe mwenyewe jaribu kuepuka kuangalia picha hizo za xxxxxx,jaribu kufanya shughuli nyingine ili ujikipu busy zaidi hii inaweza kukusaidia,fanya mazoezi mara kwa mara au tafuta vitu vinavyoweza kukupa burudani zaidi ili kuweza kuweka akili...
Back
Top Bottom