Recent content by Mtoto wa Jadu

  1. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Askofu Zackary Kakobe?

    Ni kitambo sana sijamsikia katika bashasha kama awamu ile ya Kikwete! Au ndio maana ya ule msemo wa "kila zama na kitabu chake!?"
  2. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Aviator: Ushauri kwa wachezaji wa Tanzania wenye uzoefu

    Kuliko Aviator, bora ucheze red & black, unachagua rangi kati ya red na black na card ina flip, unashida rangi kwenye cardni ile uliyocahgua! Ninachoipenda ni hiki, matokeo ni mawili tu, red au black... Maana yake kupata ni 50/50 Sasa wewe weka mkakati huu, cheza mara moja tu... Ukila achana...
  3. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Lema amesitisha mkutano wake na vyimbo vya habari

    Uwe una clip kaka, maana kwenye hiyo picha watu wanaonekana wawili, Lema na wewe! Wabaya wanaweza anza kukufuatilia!
  4. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatukana Serikali, kwanza elewa Serikali ni nini?

    Kwa uelewa wangu, mwalimu, nesi, injinia wa serikali n.k, hao sio serikali... Bali ni watumishi wa serikali. Mfano, Aziz Ki, Mrisho Ngasa n.k hao sio Yanga, ila ni wachezaji wa Yanga... Maana yake siku yoyote wanaweza wasiwe wachezaji wa Yanga. Lakini serikali, ni serikali milele, kamwe...
  5. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Je unajuaje kwamba aliyeamka leo ni yuleyule aliyelala jana?

    Je, rangi yoyote, mfNo nyekundu, ninavyoiona mimi, ndio kila mtu anaiona hivyo?
  6. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Gen Z wachache sana wataweza kuelewa nini kilikuwa kinaendelea hapa

    Picha kwa msaada wa AI
  7. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa tamaduni wa Simba na Yanga ndiyo mwisho wa Raisi Karia

    Kwanza Simba na Yanga ndio zinazoharibu soka la bongo!! Unakuta hata hizi timu pinzani, ni either Yanga au Simba
  8. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu ameambiwa atoe pesa apelekwe Oman au Dubai Kwa meli ya mizigo, safari itadumu Kwa wiki Moja tu kutokea zenji, je ni kweli?

    Hahahaa! Hata mimi mwanzo nilihisi hivyo, kwamba:- Huyo jamaa ni yeye mwenyewe!
  9. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Naomba kumfahamu mwanasayansi yeyote aliyetokea chuo kikuu cha UDSM

    Kuna ndugu anaitwa Erasto Mpemba, ndio yule aligundua kitu ambacho baadaye kikaitwa Mpemba effect... Kwamba kwenye fridge, maji ya moto yatawahi kuganda kuliko ya baridi Nachojua ni mtanzania, ila sijui kama alisoma hapa bongo... Pia gunduzi hiyo aliifanyia huko Tanga kipindi anasoma Mcheki...
  10. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Kwako ni zipi ni mechi bora zaidi za world cup 2026

    Argentina vs Cape verde
  11. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Hakuna tatizo lolote mwanamke kuzaa bila kuolewa au kuamua kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Kuoa single mother hakuna shida yoyote ya kifizikia. Migogoro inayoweza kujitokeza ndio inaweza kuzaa shida
  12. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina 60,000 niiweke kwenye nusu na fainali kombe la dunia nipeni mwongozo

    😂😂😂😂 Kaka kweli ulienda na hizo?
  13. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Je Mungu anaweza kuwa Mungu; Je mtu anaweza kuwa Mungu?

    Kama Mungu hawezi kuwa mtu, basi maana yake ni kwamba, kuna vitu Mungu haviwezi kuvifanya!! Sasa hii pia inaleta mgongano wa kimantiki, kwamba Mungu ni muweza wa yote... Lakini mbona hili haliwezi? 🤔
  14. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania Babu yetu Tambitambi ameongeza mke wa nne jana

    Mimi miaka 32 sina hata mmoja!! 😭
  15. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 From Electoral reforms to Post Election violence, here are 5 things Mwigulu Nchemba said in his recent press conference

    Kaka weka na version ya Kiswa, hii unatunga tuliokwepa umande!
Back
Top Bottom