sifa za mahaba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sifa za mahaba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Yona F. Maro, Dec 24, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Dec 24, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nimechoka
  Nawasili nipokeya
  sibadili yako niya
  tafadhali niridhiya
  yangu haii nimechoka
  Wangu moyo wanitanga
  kwa surayo kutoenga
  njoo mbiyo wa muanga
  mwendaniyo nimechoka.
  Nakwambiya la hakika
  Nisikiya muhibuka
  Naumiya kwa mashaka
  kungojeya nimechoka.
  Nakujuza si dhihaka
  li aziza nakutaka
  ukiweza nieleka
  kujiliza nimechoka.
   
Loading...