Recent content by MTOTO KITAA

  1. M

    Nauza Playstation 2

    Wakuu Kwa Hiyo Bei Haipungui, Ps Zinapiga Kaz Zipo Ofisin Kwangu, Pia Utakuja Kuuziwa Ofisin, Kwa Kuridhika Mwenyew, Leng La Kuuz Ni Kununua Ps 3, Kwangu Wateja Wanapenda Ps3,
  2. M

    Nauza Playstation 2

    Mkuu Nimeshajibu Hapo Chini, Kuhusu Game Njoo Na Flash Nitakuwekea Magemu,
  3. M

    Nauza Playstation 2

    Ps Moja Ina Pad 2, Na Waya Zake, Haina Flash, Na Ps Nyingine Ina Pad Moja, Haina Flash, Kuhusu Picha, Samahan Natumia Simu Ambayo Uwez Wa Kamera Ni Mdog Mno, Kuhusu Ubora, Utakuja Ofisin Kabisa,maana Zinapiga Kaz Kwenye Ofis Yang Ya Ps, Lengo La Kuuz Nataka Ninunue Ps 3, Asanten
  4. M

    Nauza Playstation 2

    Wakuu Habar Nauza Playstation 2 ikiwa imechipiwa inatumia Flash, Zipo Mbili, Kwa Zote Nauza Laki Mbili Na Nusu. Kwa Maelezo Ni Pm, Napatikana Dar
  5. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu wakina pddy,mbona hamjaweka mikeka leo, hasa ile mikeka ya VIP. msaada ndugu
  6. M

    Biashara ya kutengeneza CD

    Wakuu habarii? Naomba kwa MTU yoyote ambaye anafahamu hii biashara ya kuchukua move kwenye mtandao kisha kubarn na kuziweka kwenye CD, au dvd, namaanisha biashara ya aliyokuwa anafanya lufufu, pia naomba unifahamishe je kuna sehemu maalumu wanazozalisha hizo CD, na kwa bei gani kuzalisha...
  7. M

    Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba

    naomba nichangie kidogo kwa ninachokifahamu kuhusu huu mfumo,kwanza huu mfumo haukopeshwi pesa,Bali unaenda benk unasema unataka kufanya biashara gani? na wapi,na business plan yako ikoje,utapate faida, baada ya benk kukuelewa biashar yako harari, basi wanakununuli hiyo bidhaa popote pale...
  8. M

    msaada, mashine ya kuban/ printing cd

    wakuu naomba mwenye Kujua machine ya kubarn/ print CD zenye cover juu, he naweza kupata wapi,na shilling ngapi,na na iana gani hiyo,napenda yenye uwezo wa kubarn CD mia moja kwa siku.msaada wadau
  9. M

    msaada, wapi wanaprint burn cd zenye cover juu

    wakuuu habari,naomba msaada wa kuelekezwa wapi wanaburn CD ambazo zinzlakuwa na cover lake juu ya CD, pia nifahamu ni shilingi ngapi kwa CD moja, na wanauwezo wa kubarn CD ngapi kwa siku, msaada wadau
  10. M

    Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

    je wakuu, kuna mitandao tofauti tofauti ya kuuza bidhaa,je kila mtandao inabidi nijisajili tena,au kwa kuwa nimeisajili paybal,basi ni rahisi nikiingia mkwenye mtandao wataweza kunipata na taarifa zangu zote,nitoeni ushamba hapo wadau
  11. M

    Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

    nikijisajili kwenye ebay,sasa nikifika kwenye comfermation ya mobile NAMBA inagona.nisaidie hapo wadau nifanyejee.
  12. M

    Daah kumbe kujiajiri nako ni kaz, ona yanayonisibu.

    mkuu, kwa upande wangu nakubaliana na ushauri wa watu wote hapo juu,ila kuna ushauri watu wengi hawataki kusema, je unaamini kuna uchawi? je vitabu vya dini vinaamini kuna uchawi? je unaamin kuna kinga ya uchawi? je kwa nin wachaga na wakinga wanaendelea sana biashara zao? hakuna tajili dunian...
  13. M

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    mkuu siku nyingine, kabla y kuweka uzi, jaribu kutafuta kwanza nyuz za nyuma, utapata watu wameshajadili hayo mambo. so usiwe na akiri kama za ccm
Back
Top Bottom