Recent content by mtoromkuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM wametoa ratiba ya vikao kwa siku ya leo tarehe 10 Julai, 2015

    Hakuna alilofanya na wenzake hawakulijua,amekua mbuzi wa kafara!mfumo mzima wa magamba uko hovyo na corrupt!dawa ni kuwapa wengine ridhaa tu!na si kung'ang'ania watu wenye malengo yale yale na akili zile zile!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Hakuna kukata rufaa mara mgombea atakapokatwa

    Wajinga ndio mtaji
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Inapemdeza sana mkuu!ni kilimo cha kitu gani hiki?
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakamatwa na mashine ya BVR wakiandikisha watu usiku

    Vichekesho vingine hivi!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Asante mnyika huu ni uzalendo na wajibu uliotukuka

    Kwani Ubungo sio sehemu ya taifa ili?hacha fikra mgando!si kila kitu lazima ueleimike ili uweze kujiongeza
  6. M

    JamiiForums Tanzania MOSHI MJINI: CCM Jipangeni vizuri ili kuleta mabadiliko ya kweli!!

    Msomi mzima hauna hoja!eti nimeambiwa wamejipanga vilivyo,kwani miaka ya nyuma hawakujipanga?hovyo kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania EWURA yapandisha Mafuta kwa ongezeko la wastani wa Shilingi 200/ltr

    Tumezidi u..... Ndio maana wanatuburuza watakavyo,wanatuona kama vikatuni tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

    Majibu ya porojo hizi utayapata kwy sanduku la kura october
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rostam aishukia Serikali, aitaka iache kupitisha sheria kandamizi

    Mpuuzie tu mkuu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu huu mzigo ni Meridian au premiere betting?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    Hapana mkuu,nadhani ni Francis peke yake ndie anaefanya kazi nje,Bridgett alikua anafanya kazi ICAP na Merrina nae alikua hapa hapa!!ila hata hivyo bado sijashawishika na Judge Augustine uwezo wake wa kua rais wa nchi hii!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Waliohusika Escrow wamepewa Bandari ya Tanga!

    Cdm wametoa tamko lini mkuu kuunga kupingana na hii kauli ya Zitto?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

    Haujitambui wewe!hata ulichoandika sidhani kama unakitambua!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mayai ya Kwale kama Kikombe cha Babu, Wananchi tuchukue tahadhari

    Mkuu nadhani wewe kidogo ndio hauko well informed,faida za haya mayai zimekua proven na watafiti mbali mbali wa mataifa tofauti duniani ikiwemo America,Uk,China na Japan!kukurahishia tu mkuu unaweza uka google quail eggs na ukapata reliable sources kibao zinazoelezea faida za haya mayai!na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za mbunge J.Selasini alizotoa bungeni dhidi ya RC Gama siyo za kweli.

    Haya tuambie wewe ukweli unaoujua!
Back
Top Bottom