Recent content by mtori wa zanzibar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Ninyi walimu mnao simamia uchaguzi acheni kusimama upande wa hawa watawala wanyonyaji. Maana kama mnakaa miaka 2 mnakuja kuongezewa tsh 9000 or tsh 15000 maana yake nini? Simamieni haki na maamuzi ya wananchi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

    Ila hata mimi limeniuma, kila siku Nakitetea chama fb na mitandao mingine ila nafasi wanapata watu waliokua wanakiponda chama na wamehamia hivi karibuni. Ngoja uone kama hawa jamaa waliohamia juzi kama hawatapata nafasi zile za u dc na ukurugenzi wakati watoto watiifu tupo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Ila watumwa wa serikali wana Kazi sana. Kelele nyingi ongezeko tsh 5000
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hajapatikana kijana sahihi kuiongoza BAVICHA mpaka sasa, CHADEMA chukueni ushauri huu

    Hilo uliliona mapema, ila njaa inasumbua sana naamini kila mmoja hiyo ndiyo inayomsumbua
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani acheni upotoshaji, watumishi wa serikali watapandishiwa mishahara

    we unatetea nini? Kwani sisi hatujasikia hiyo kauli za mheshimkwa sana? Usipende kujitoa ufahamu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa leo wa CHADEMA kwa waandishi wa habari waacha maswali mengi

    Mimi nachotaka ni kuona lisu kapona mengine kwangu ni taka taka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kumchangia Lissu tuachane na CCM

    Maombi tu wamezuia hivi hayo matibabu kugharamia mtaweza kweli ninyi wanafiki wa kijani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa maisha unazidi kuonekana

    Watu tunasimamishwa kazi kwenye makampuni we unasema uchumi unakaa sawa kweli? Au unaungana na mchumi mwenzio anayesema bidhaa kupanda bei ndiyo uchumi imara
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa maisha unazidi kuonekana

    Hayo maoni yako na yanategemea sehemu ulipo na shughuli unayofanya, bei hiyo uangalie kote, huku kwangu sukari sh 2500-3000
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, nimejeruhiwa sana na mapenzi

    Mapenzi yanauma sana tena sana asikwambie mtu. Loving someone is natural and unconditional
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya sababu kwanini tunaingia kwenye ndoa na watu wasio sahihi

    Yani we jamaa umesema kweli kutoka moyoni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi yoyote Duniani inayoruhusu wanafunzi wenye mimba kuendelea na masomo

    Jipya kwa kipi? Mbona lipo toka zamani? Kwani kuna mwanafunzi anaeendelea na while za serikali akipata mimba?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi yoyote Duniani inayoruhusu wanafunzi wenye mimba kuendelea na masomo

    Hili jambo mbona lipo toka enzi hizo? Au kwa magu ndiyo linaon
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Hiyo mikataba ni ya lisu au serikali, msipende kuwa low mind ninyi vijana wa lumumba
Back
Top Bottom