Recent content by Mtoka Mbali Popote

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inaniadhibu, nahitaji kuchukua maamuzi magumu

    Nimesoma stori yako kwa makini. Umefanya vizuri kuanzisha biashara ila umekosea kitu kimoja ambacho ni LOCATION. Ilitakiwa uende ukafungulie mkoani huko.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukibadilishiwa mtoto wakati wa kujifungua usipige kelele fanya hivi ili kupata haki yako

    Umeongea ukweli. Hiyo ndio dawa pekee.
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi Juma Mwapachu afariki Dunia

    Alikua anaitwa Bakari Mwapachu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Toyota waja na toleo jipya Landcruiser 300

    Ni kweli mkuu. LC 300 hawakuitengeneza vizuri. Imekua ndogo na pia ni V6. Ile LC 200 series ni V8 na bado watu wanaipenda.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

    Hiyo nafasi ya Dr Ndugulile ilikua ni nafasi kubwa sana kwetu kama Taifa. Sisi Watanzania kwa sehemu kubwa tuna upendo kwetu wenyewe lakini kwa majirani pia. Kuna uwezekano washindani wake kwenye hiyo nafasi kutokea mataifa mengine hawakuridhika. Ukiangalia kwenye ile nafasi Kuna "Cartel"...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

    Hicho Kijiji kipo wilaya ya Masasi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbrle mwenyewe

    Hicho kitakua cha Newala.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

    Inaonekana Mafuru alikuwa mkubwa kuliko watu wengi wakivyomfahamu. Itifaki ya msiba wake imekua kubwa sana. Waombolezaji wakiongozwa na Mheshimiwa Rais na Wakuu wa Vyombo. Kwa kifupi amepata hadhi ya kupewa Msiba wa Kitaifa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia hizi alizoonesha Aziz Ki kweli yeye bado ni mchezaji Professional?

    Aziz Ki ana ukaribu zaidi na viongozi wa Yanga kuliko Gamondi. Na Kuna uwezekano hamheshimu Gamondi coz hana cha kumfanya. Kocha ukishajua hilo unatakiwa uwe mpole na usimame kwenye nafasi Yako. Hii iliwahi kutokea kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa miaka ya nyuma. Captain Didier...
  10. M

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Mvua imefanya hii mechi ikose mvuto.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Mhasibu bado tupo nae. Atuambie goli la pili mechi ya Yanga na Pamba kafunga nani.
Back
Top Bottom