Recent content by MTINIPUB

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lwakalinda Kalikawe Bagonza katika "kushika adabu yake", anaandika haya

    unahakika na hilo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

    hongera kubwa kwake...sasa walio karibu naye wamshauri aajiri wataalamu wabobezi wa maswala ya biashara na uchumi ili wamshauri na kumsimamia namna sahihi ya kuwekeza ili abaki kuwa juu yeye na kizazi chake forever.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

    i like this...hivi hatuna (WAKATOLIKI) website maalum au page kwenye website ambayo ina collection ya nyimbo kama ulivyozipanga hapo juu mdau?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua baba alimharibu (sexually abused) ndugu yangu wa kike

    hapana, hairuhusiwi popote ku-confront na mzazi wako. unachotakiwa ama kujihadhari naye kwa kutompa access ya kukaa na watoto wako au kuwaeleza wazee ili wao ndio waongee nae. usithubutu kuinua ulimi wako ukalumbana na mzazi wako hata kama alichokufanyia hakikubaliki kwa namna gani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama ya Gauteng yaamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Hermanus Steyn akata rufaa

    kuna Watanzania hii habari itawafanya waumwe homa leo.......
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mama kapata mafao, afanye biashara gani?

    Anaweza pia kupata ushauri kwa wajuzi wa mambo ya dhamana za Serikali kwani nimeliona tangazo kwenye social media likinadi juu ya mambo ya dhamana za serikali Benki Kuu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mama kapata mafao, afanye biashara gani?

    ni nini maana ya kuita JF ni jukwaa la GREAT THINKERS mkuu? mtendee haki muomba ushauri, hayo mengine baki nayo mwenyewe.....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    mkuu hujaelewa hoja unakimbilia kutoa povu...pole
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    hii hamjaijibu wataalamu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    ukiisoma post yako ya mwanzo umesema kuwa tatizo wanaofanya hayo mambo hawashikwi wanashikwa wengine...ndio maana nikakwambia mkuu taja basi wahusika si wanapitaga humu unaweza kuwasaidia jambo ambalo labda walikuwa hawalijui au kama walikuwa wanawaficha wajue wananchi tunajua....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    kama unawajua si usaidie kutaja mkuu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji wa Ukara, Ukerewe wapewe zawadi ya ajira Serikalini

    nice advise mkuu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

    Au ikizingua sensor huchelewi kuambiwa milioni.....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

    spare parts hapo ndipo wajapani wanapotupigaga napo....huchelewi kuambiwa shock-up laki nane...
Back
Top Bottom