Recent content by MTIMBICHI

  1. MTIMBICHI

    Salamu hizi kutoka CCM ni ishara mbaya sana kwa siasa za upinzani Tanzania

    Naona wamepata mpiga debe kule instagram anaitwa mangekimambi huyu alikuwa ni wa kwanza kumchagua magufuli leo anajifanya ukawa damu sijui ni ule ubunge aliopishana nao policy orstebay pale ha ha ha ha
  2. MTIMBICHI

    Injinia Mramba wa TANESCO, ajira yako imeshikiliwa na uzi mwembamba ajabu!

    we jamaa noma isee haya nimekukubali
  3. MTIMBICHI

    Mliopo kwenye ndoa !!

    unataka uhuru gani ukishaoa au kuolewa
  4. MTIMBICHI

    Nikikipata hiki nitatulia na kuoa

    zaa wako utaikuta
  5. MTIMBICHI

    Ni lini serikali itapiga marufuku makanisa ya kilokole kwenye makazi ya watu.

    huwa sielewi kelele kwenye maombi kwani hakuna kuabudu bila makelele kwani mungu anataka kelele mimi huwa naona ni watu waliochanganyikiwa tu na maisha mbaya zaidi hakuna siku au muda maalumu wa kuabudu maisha ya sasa ni ukichaa then akili zimevurugika na hayo makelele.
  6. MTIMBICHI

    Rais Magufuli awasomesha namba wakazi wa Ubungo, Kimara na Mbezi kwa mwendokasi

    umongea nini wewe choko hao wananchi watapambana na nani ikiwa wawakilishin wao hawaonekani majimboni mpaka wakati wa campain
  7. MTIMBICHI

    Rais Magufuli awasomesha namba wakazi wa Ubungo, Kimara na Mbezi kwa mwendokasi

    tatizo la ubungo wabunge wote wanaopewa wakishapata hawana time na wananchi kilichobaki ni kurudi ccm tu nakumbuka hata alipokuwa keenja hakukuwa na shida ya maji lkn yalipoanza mambo ya upinza ikawa shida sasa maji hayaonekani na matatizo mengine ndio kama hayo ya mambo ya usafiri na wabunge...
  8. MTIMBICHI

    Uanzapo kujenga msikiti ni lazima ujenge na kanisa maana umeyataka mwenyewe!

    atujengee na nyumba za kulala :D:D:D
  9. MTIMBICHI

    Uamuzi wa Wizara ya Afya kutoa ARV's kwa kila mwenye kuonekana ana UKIMWI bila kujali CD4 zake

    hatujui hata panadol ina side efect ilo ndio tatizo la wa tz
  10. MTIMBICHI

    Uamuzi wa Wizara ya Afya kutoa ARV's kwa kila mwenye kuonekana ana UKIMWI bila kujali CD4 zake

    naomba kujua watajuaje kama cd4 zipo chini manake kwa sasa wameacha kupima cd4 ila wanapima viral load tu, na pia tusichukulie ukimwi kama issue sana kwa sasa tuangalie cancer na sukari zinavyomaliza nguvu kazi wa tz tuache kukremu ujinga kila siku ukimwi sio issue tena bado kidogo tu tutaambiwa...
  11. MTIMBICHI

    Msikiti utakaojengwa na mfalme wa Morocco utakuwa ni wa dhehebu gani?

    sijawahi kuchagua msikiti nikikuta ni msikiti naingia nasali nasepa yale nisiyokubaliana nayo naachana nayo kikubwa imamu yupo na sala imefanyika na tumeelekea kibla wewe unaetaka mambo yako binafsi nenda kachague
  12. MTIMBICHI

    Kwaheri mchepuko Wangu

    natafuta ile therd ya wakristu turuhusiwe kuoa mke wa pili
Back
Top Bottom