Karaha za mamlaka ustawishaji makao makuu CDA

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
559
Kuna uzembe wa hali ya juu hapo ofisini, watu wameshafanya malipo ya viwanja kupitia bank kupata risiti ni shughuli toka tumeleta pay slips za bank saa nne mpaka saa sita dk kumi bado hatujapewa risiti inawezekata mpaka J3.
 
mkuu viwanja vipya au vya zamani?
 
Back
Top Bottom