Recent content by MtiMawazo

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

    Sifa Njema za Msichana / Mwanamke Ibrahimu alimuagiza mtumishi wake amtafutue mtoto wake isaka mke kutoka katika watu wa Israel. Alipoenda yule mtumishi aliomba Mungu ampatie mwanamke ambaye atakuwa tayari kumpa maji yeye na ngamia wake. Ni kwanini mtu huyu aliomba mwanamke wa aina hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Leonidas Gama apiga marufuku Bodaboda na Bajaji Kilimanjaro

    Ukweli hajapiga marufuku bodaboda.Amewataka madereva kujiunga ktk makundi yaliyosajiliwa na kupewa leseni.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima, tusaidie viwanja vya Kiluvya vmeishia wapi?

    Angalau umeionyesha jamii kwamba watu kama kanisa wanaweza kujinyanyua kiuchumi kwa umoja wao.Misiki na kina ponda wajifunze ktkt hili..
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni serikali ya kwanza Duniani

    Kwanza waje walengwa.....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Udini ni cancer ya damu kwa watanzania

    Ili kujua uwezo wa kiakili wa mtuhumiwa.Tuuendee sasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Real Madrid AllStars vs Tanzania 11, 23 Agosti 2014

    Rais mchapakazi hakuna mfano............................
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hoja thabiti za Tundu Lissu zimenifanya nipende kusoma sheria

    Ajabu wenye akili ndogo ndio viongozi,badalaya ya watu kama hawa kuongoza nchi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Serikali (Werema) na Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

    Wakati mwingine dawa ya watu wanaojifanya vichwa ngumu (hali wakijua ukweli) ni ngumi kavu kavu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Kwa ushahidi wa kimazingira alikuwa ameklewa.Anayejitambua hawezifanya yale.Ebu uje muulize vizuri mkiwa chumbani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Clouds wanafanya utafiti "namna watangazaji wake walivyo maarufu". Ni bahati sana kafanya fujo kwa mzungu,mwarabu ange"mfuturu" peupe pee.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    hizi tabia za kutetea bwanako ziwe huko huko kitandani tena chumbani.Huyo ----- wako kaleta fujo na sisi katusababishia folen
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Shilole kiuno ''Shishi Baby'' ampa kibuti Nuhu Mziwanda

    Ushauri wa bure kwa kina marioo wote: "Anza kutafuta bwana,ili upate haki ya kutunzwa"
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Shilole kiuno ''Shishi Baby'' ampa kibuti Nuhu Mziwanda

    Ni matokeo ya malezi ya singo maza,akili inakuwa kike kike zaidi.hata girlfriend unaona ana haki ya kukulea
  14. M

    JamiiForums Tanzania Good news, chimbo jipya la kitimoto lafunguliwa magomeni.

    long lasting Team kitimoto
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

    well noted
Back
Top Bottom