Oooy ni matunda ya kuanza mwaka mpya,asante sana na mim naongezea kuwa mwil ni wa thaman sana kuliko ajr yako ya utumwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi yetu ya kibongokibongo sio muda awamu ya kwanza inaenda kumalizika soon lkn mpaka SAS TFF hawajamupata mdhamini wa ligi.je hali ikiendelea mpaka mwisho bingwa atalipwa hela na TFF?
Kwa kwel nkana lazima watoke tu hakuna jinsi japo nimeona wanajipa moyo kuwa hatakuja kutufanya kaz dar esalam.Nkana Leo wamepoteza nafas nyingi za kutufunga na leo timu ya simba wamecheza Mpira kwa kutetemeka sana lkn cha kushangaza nkana wanapata mabao mawili
.nkana siwafichi nawambia ukwel...
Habar wanajf.
Tunawatangazia tuition wazazi na walezi mlete mwanao st peter education centre ambao IPo bunju A usalama barabara ya kuelekea kanisa ya efhata ministry
Masoma yanayofundisha kwenye likio hii
Mathematics, physics, chemistry, bioligy and English language.
Na kwa wazazi wanaotaka...
Wabongo acheni ujinga wa kulalamika kila Wakt,ivi hata elimu yetu ya darasa la saba haiwakwamui hata kidg maana kila Siku nyie ndio mnapga kelele.timu imeenda kushiliki kwa niaba,,hakukuwa na maadaliz yoyote na ulikuwa ni ghafula sana kwahy wameenda kupata experience kdg ili wajipange kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.