Recent content by MTI PESA

  1. MTI PESA

    Waliofanya interview TRA

    Tatizo ulitoa majibu kama mtumishi wa PSRS mkuu...haya ubarikiwe sana![emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
  2. MTI PESA

    Waliofanya interview TRA

    Na zile interview za tarehe 13/02/2019 za TRC matokeo lini mkuu...?? Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
  3. MTI PESA

    Kuitwa kwenye usail KADKO

    Huyo atakuwa anaanzia kwenye usaili wa mchujo kisha ndio afanye wa oral... Sent using Samsung; Jamii Forums mobile app
  4. MTI PESA

    Sekretarieti ya Ajira: Tangazo la kuitwa kazini kwa waliofanya usaili Februari 8-15, 2019

    Sidhani kama kuna possibility hyo maana majina ya watakaoajiriwa mwisho wa siku ni lzm yawasilishwe "Utumishi" for records and all necessary documentations...kwa mantiki hyo ni lzm Utumishi wata-refer kwenye database yao kuangalia majina waliyoletewa kama yana-match na waliyonayo kwa...
  5. MTI PESA

    Sekretarieti ya Ajira: Tangazo la kuitwa kazini kwa waliofanya usaili Februari 8-15, 2019

    Kwenye hili naweza kukubaliana na wewe kwa 99%...maana kuna interview za TRC zilifanyika since Dec.2018 za level ya Manager's mpk leo hakuna tangazo lolote lililotolewa la kuitwa kazini.
  6. MTI PESA

    Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Mikindani yatangaza nafasi 13 za kazi

    Hizo kada za juu zimeshajazwa na PSRS-Utumishi kwa watu waliokuwa nao kwenye data base yao...rejea tangazo lao la jana la kuitwa kazini kwenye website yao...zimebaki hizo za mgambo tu....😂😂
  7. MTI PESA

    TANROADS mkoani Iringa yatangaza nafasi 20 za kazi katika nyanja tofauti tofauti

    Mkuu...kuna kada zingine huwa wanapelekewa watu waliopo kwenye Data base ya PSRS ambao walisailiwa lkn hawakupata nafasi mwanzoni...
  8. MTI PESA

    Wale tuliofanya usaili wa Road Fund Board tar. 11/01/2019 (Planning & Monitoring Eng.) tukutane hapa

    Wakuu!...naomba tupeane updates kwa mwenye nazo maana RFB wapo kimya
  9. MTI PESA

    Kuitwa kwenye usail KADKO

    Ingia kwenye website ya Utumishi wameshatoa orodha ya majina ya wasailiwa na vituo vyao jana tar. 08/03/2019
  10. MTI PESA

    Mary Mramba aficha shilingi 700,000,000 chumbani kwake!

    Hii ni sawa na Mulugo kusema "one ninteen sixty four(11964)"..akimaanisha 1964! dah sijui hii tuiite ni elimu mtambuka au..?
  11. MTI PESA

    Msaada: Nawezaje kupata Album ya Stereo na One the Incredible from M-Lab..?

    thanx mkuu ila ungenipa japo user name yke ya fb ingekuw poa zaidi..pa1!
  12. MTI PESA

    Msaada: Nawezaje kupata Album ya Stereo na One the Incredible from M-Lab..?

    Wadau mwenye kuweza nifahamisha jinsi ya kupata album za hawa vijana wa Hip Hop from M-Lab coz ndo Mc's nnaowakubali kwa ss..need help plzzz!
  13. MTI PESA

    msaada: nawezaje kupata Album ya Stereo na One the Incredible from M-Lab..?

    wadau mwenye kujua jinsi ya kupata Album za hawa vijana wa M-Lab,(Stereo,One,mix tape ya Duke,Songa na Nash Mc) anaisaidie tafadhali..coz hwa jamaa huwa nawakubali kinyama yani..!!!
  14. MTI PESA

    Vyombo vya habari kuweni makini mnapowaita watu kuja kutoa ufafanuzi wa jambo fulani

    kinachonitatiza ni hizi media both TV na Radio kuwa na program zinazofanana in 24 hrs..sasa sijui program manager wao ni mmoja?au ni kuigana kusiko na tija?..au ni vilaza?yaani kuna vipindi vingine mtu mpaka unazima radio jinsi vinavyoboa kusikiliza...coz havielimishi wala haviburudishi chochote...
  15. MTI PESA

    Jerry Muro atangaza kituo cha tv atakachofanyia kazi

    huyu dogo mchonga nyusi hata kuficha uhusika wake humu JF hawezi..ona sasa leo amejianika hadharani na kila mtu ameng'amua kuwa Bigman ni Millard Ayo kisa ni kutetea huo uzi wake na hako kaji-link uchwara...lkn haya ndio matokeo ya vyuo vya uandishi wa habari vilivyojazana pale Ilala Bungoni na...
Back
Top Bottom