Msaada: Nawezaje kupata Album ya Stereo na One the Incredible from M-Lab..?

MTI PESA

Member
Nov 19, 2011
39
8
Wadau mwenye kuweza nifahamisha jinsi ya kupata album za hawa vijana wa Hip Hop from M-Lab coz ndo Mc's nnaowakubali kwa ss..need help plzzz!
 
Check na "duke touches" the m-lab mastermind....mtafute google na fb. Na ukishindwa unaweza kumpata kupitia cheusidawa tv ya fid q ngosha the don.
 
Check na "duke touches" the m-lab mastermind....mtafute google na fb. Na ukishindwa unaweza kumpata kupitia cheusidawa tv ya fid q ngosha the don.

thanx mkuu ila ungenipa japo user name yke ya fb ingekuw poa zaidi..pa1!
 
Back
Top Bottom