Recent content by MTI MWIBA

  1. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kusini mtaacha lini kula ngozi ya ng'ombe?

    Ndio hao hao waliouza korosho wakaenda Kununua pikipiki sunlg na baiskeli waliyokuja nayo toka kiijijini waamua kuiacha hapo hapo dukani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kusini mtaacha lini kula ngozi ya ng'ombe?

    Na walaji wa hizo ngozi hapo mbagala ukifuatilia ni watu wa Lindi na mtwara na wilaya ya tunduru na ngozi zenyewe hata mafuta hamna yaan mchuzi mkavuuu labda za huko dar ziko poa ila Huku hata manyoya hawaparui vzr
  3. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kusini mtaacha lini kula ngozi ya ng'ombe?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuu
  4. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kusini mtaacha lini kula ngozi ya ng'ombe?

    Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu, yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya...
  5. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Masasi, Mkuu wa Wilaya kwanini kuhamisha walimu vituo vya kazi na kuchagua baadhi kuwalipa na wengine kutowalipa?

    Kwako wewe DED masasi inafahamika kwamba mtumishi anapohamishwa kituo kimoja kwenda kituo kingine lazima alipwe fedha za uhamisho na ya usumbufu Sasa inakuwaje mwezi December mmehamisha watumishi (walimu)zaidi ya miamoja kutoka kitua A to kituo B wenyewe mna lugha kurekemisha ikama ya walimu...
  6. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenders za usafirishaji nina fuso imepaki

    Unataka ulipeleke chiwata au ruangwa[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Nihamie Mlowo, Songwe au Karatu, Arusha? Nisaidieni

    Kuna tope sana mbozi masika hii andaa Buti Kila unapokanyaga ni tope tu mlowo ila kuzuri Kuna kande na parachichi ukimix ni balaa bila kusahau na ndizi za kuchoma hapa madoni ni fulldoze na akina manyanya na chaula mbozi oyeeee ukishindwa njoo MASASI NTWARA hutojuta
  8. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo masasi Nije tunduru idara ya msingi
  9. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo msasi nine tunduru
  10. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Njoo UWATA kanisa zuri chimbuko la wokovu hutajuta maisha Yako yoooote
  11. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

    Wakitaka Jimbo ligawanywe
  12. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Mkasa: Jinsi nilivyofunzwa uchawi na mama yangu

    Muongo ww uchawi haachi mtu bado unaroga ww
  13. MTI MWIBA

    JamiiForums Tanzania Aliyeelewa usajili wa Mudathir Yahya anieleweshe

    Uislamu unakujaje tena apo
Back
Top Bottom