Kwa upande wangu nitamkumbuka sana kwa uongozi wake wa uadilifu mkubwa , kusimamia miradi vizuri na miundombinu kwa kushirikiana na viongozi wengineo hivyo kuleta maendeleo makubwa nchini.
Pia mchango ktk nyanja ya michezo, mwaka fulani timu ya Jimbo lake (Namungo Fc) ilicheza mpaka level ya...
Kulikuwa na mboga za majani na zingine za kupima katika kijiko zinauzwa na wana ulokoni.Aisee zilitu save sana siku za maharage yani tulikuwa tunamix na maharage siku zinasonga.Ofcourse ni maisha flani ya kukumbuka sana
Mkuu ,mfano kwa level ya chuo I think ukisomea udaktari mifugo nguruwe na mifugo wengne utawasoma na practical zake utafanya regardless wewe ni wa upande upi ...I dnt know abt secondary,,Walosoma mifugo wachangie kwa maelezo zaidi na kutupa experience
Usijali kaka...Sisi sote ni wakristo hakuna dhehebu lililo kamilifu kuliko jingine....Ni katika kuhoji na kukosoana kwa nia ya kujengana katika ukristo wetu...Tuwe na umoja (unum omnes)
Aliye Mkamilifu ni Mungu pekee...Nasi sote tukaunganishwa kwa kuitwa Wakristo....hakuna aliye wa Paulo au...
Of course ni kanisa ambalo liko very organized ktk mambo mengi
na kimafanikio kielimu ,kwa huduma za kujitolea ktk jamii kama kusaidia yatima na wenye kuhitaji bila ubaguzi wowote , kuweka balance ktk imani na elimu dunia ...ratiba za sala za masifu mara kadhaa kwa siku,,liturujia,hayo ni...
Hebu mkuu tusaidie mbinu Gani walikuwa wanazitumia kuwawezesha hao wenye ufaulu mdogo kufanya vizuri sana....Lakini Usitaje jina la mtu aliyefeli hapo mwishon si vizuri kk
Sema ktk elimu seminary zipo vizuri sana wakuu...Kanda ya kusini ktk mitihani seminaries were topping the list...
Consolata Seminary,Don Bosco ,Mafinga Seminary ,Kilocha and others
Mimi sijasoma seminary but nilisoma Bible knowledge O level na Divinity advanced level..Nikajifunza mengi kuna muda nili interact nao ...kwa kweli ni wengi ni vijana wenye tabia njema,, hata ikitokea kuanguka ni rahisi sana kwa waseminarist kumtafuta Mungu na kujirudi maana msingi upo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.