Hivi hao watu wanaoletwa na malori ni watanzania au wakenya? Mbona akili zenu hazina akili. Hivi hivyo viwanja wanavyofanyia mikutano CDM huwa vina watu wanaoishi humohumo kwenye viwanja. Kwa maana nyingine wa CCM wanaletwa wa CDM wameota hapohapo sijui toka ardhini? Hivi uwanja wa kawe mfano...
Acheni uongo wa kutengeneza picha za uongo. CCM imewaweza nyie, kila kitu live siku hizi. Hebu tafuteni jingine. Hili la 2015 Magufuli anasubiri kuapishwa tu.
HAMELEWEKI MNACHOKICHUKIA WALA MNACHOKITAKA. KWELI NYIE NI KAMA ALIVYOSEMA MKAPA. HATUWEZI KUTOA URAIS KWA MTU ALIYESHINDWA KWENYE INTERVIEW(USAILI) YA URAIS. JANA ILIKUWA NDIO SIKU YA USAILI WAKE, AMESHINDWA KUJIELEZA KABISA. SASA TUMPEJE KURA? NYIE MPENI LAKINI SIDHANI KAMA HAJAJIWEKA SAWA...
Hiki chama cha CHADEMA ni CHA WENYEWE (wanafamilia). Wanachama ni kama manamba (au wapagazi kwa siafu/mchwa/chunguchungu) wanaofanyia kazi wenye chama ya kuandamana, kuandika kwenye mablog, kutumiana message za propaganda zisizo na kichwa wala miguu. Hivi WAAJIRIWA WANAWEZA KUMKEMEA MWAJIRI...
Hao watu mbona hawajazi hata robo ya uwanja wa taifa. Uwanja wa taifa ukijaa ni watu 60,000 sasa hawa ni kama robo ya uwanja wa taifa ni watu 25,000 waliojiandikisha kupiga kura kwa dar ni watu 2.3m. Sasa ni upuuzi kufikiria hawa majobless ndio population ya wapiga kura wote. Wapiga ura wengi...
Hivi nyie wafuasi wa Mbowe (Hakuna PEOPLES' CHADEMA kuna MBOWE's CHADEMA) mmerogwa? Mimi siwaelewi kabisa na nadhani hamjielewi kabisa. Haiwezekani kabisa awageuzegeuze kama anavyotaka, Kesho akisema Lowassa Mbaya wote mtaamini na Mtaanza kuimba wimbo huo. Kama huyu mwandishi wa Sauti Huru...
Hapo JPM mkuu unaanza kutuangusha na umeahidi hutatuangusha wanaCCM. Revisit your statement au ifafanue kwa kujibu maswali mengi ya kuhusu hizi laptop kwa walimu.
WAULIZENI NCCR MAGEUZI MREMA NA MARANDO WAMEWAFANYA NINI. HAMUWI NA AKILI NYIE! MBONA HAYA MAMBO YAKO WAZI. KUNA MAGAMBA HAIINGII AKILINI ATI KUSEMA KWA DHATI WANAKUJA UKAWA KWA MEMA. HAYA :juggle:
Nyie pokeeni tu. Hawa jamaa wanaonekana wanataka kuisambaratisha ukawa. Vita kapigane ndani. Mwisho wa siku ukawa ndio itakuwa magamba na kuiacha ccm inapeta. Yangu macho.
Hao wenyeviti waoneshe wanatoka na watu wangapi CCM?. Wengine walipigwa tafu hata kuingia kwenye hizo nafasi. Si matakwa ya wanaCCM. CCM bado muda wa kutoka haujafika.
Huyu mwenyekiti tungemshangaa kama asingemuunga mkono ENL. ENL alimsaidia sana kukaa hapo alipo. Kuna watu kwa kweli wasipomuunga mkono ENL tutawashangaa. Arusha ni mkoa wake msipomuunga mkono tutawashangaa. Lakini Mbona wanaohama ni Arusha tu jamani. Halafu M/Kiti ni mtu mmoja tu bado haina...
UKAWA acheni uoga. Wakati nyie mking'ang'ana na propaganda za kusafisha magamba kwenye maTV mwenzenu ZZK anavuna wanachama wenu taaratibu kimya kimya. Mkizinduka mtaanza kusema CCM amewaibia kura, maana ndi kisingizio mlichoandaa mtakapoanguka October.
Hivi TV zote ziwe zinasema uongo au zinasifia hata madudu ya ukawa ndio zionekane ziko huru. TV zote ziwe zinachagua vipande vya hotuba za mwalimu vinavyofavour ukawa ndio zionekane huru. TBC ndio TV huru zaidi kwa sasa; ITV kwa sasa ni kama imeshanunuliwa na UKAWA. Haiko huru tena. Inapoteza...
Unasahau kuwa Mwai kibaki ndio kama nyie mnaotaka kuingia kwa njia za kijanjajanja. Mwai Kibaki alikuwa ni chimbuko la upinzani. Hatuwezi kuwapa halafu muanze kung'ang'ania kama huyo Kibaki. Bora iendelee CCM yenye sera madhubuti
Hivi kwani upinzani mpaka upinge kila kitu. Magufuli yuko kazini kama waziri wa ujenzi, mwache afanye kazi yake. Amekuwa anafanya hivi kabla hata hajateuliwa. Alivyoenda kufungua barabara machame mbona hamkusema, badala yake mnatafuta vipisi vya hotuba na kurushiana.. Nini mnaanza kuhusisha kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.