Enyi UKAWA, ni nani aliyewaroga?

Enyi UKAWA, ni nani aliyewaroga?

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Kwa namna nisiyoitarajia leo nmekumbuka ule mstari wa biblia unaosema “Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga???? Nikawafananisha Wagalatia na UKAWA kwa kweli. Maana Wagalatia walihasi imani yao kwa kutenda na kuyageukia yale ambayo walikuwa wanayakemea mwanzoni na kuyafanya kuwa ndio mtindo wa maisha yao. Hii haina tofauti sana na kilichotokea UKAWA kwani walilaani sana kuhusu ufisadi na walikuwa wanasubiria kwa hamu kuwa CCM wamteue Edward Lowassa{ mtu ambaye viongozi wote wa UKAWA walimshutumu na kumtangaza kuwa ni fisadi} kama mgombea wao wa nafasi ya uraisi. Lakini leo hii bila aibu wanamnadii tena hadharani na kumtetea haswaaaa kwa kila kitu anachokifanya. Mmmhhh kweli UKAWA mmehasi imani yenu ya kuwachukia mafisadi na hakika nashindwa kuelewa ni nani aliyewaroga kiasi hicho. Inakuwaje uchafu wa mtu ukasafishika kirahisi hvyo; au ule ubaya wake mliokuwa mnausema ukageuka kuwa wema ghafla??? Nadhani Tanzania inahitaji viongozi wenye msimamo pia kuongozwa na vyama vyenye misimamo. Zaidi ya yote inahitaji viongozi na chama ambacho kitaweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wananchi. Wengi walidhani kuwa Mh.Kikwete atamteue EL kwa sababu ya urafiki wao; lakini nampongeza Mh.Kikwete kwa kutambua kuwa maslahi ya nchi ni ya muhimu zaidi kuliko mahusiano ya kirafiki. Eti leo kwenye mitandao ya kijamii bila hata haya mnapost picha yenye maneno eti shujaa amezaliwa leo……leo mnamuita shujaa wakati siku za nyuma mlimtangaza kama fisadi aliyekubuhu. Hakika mnahitaji kujichunguza ni wapi mlipokosea ili mpate kuirudia imani yenu.
 
Well said, jamaa waliniamisha kuwa Lowoss ni fisadi papa, leo dhamira yangu inasuta na nimeeapa kutompa kura na baya Zaidi nimepoteza imani nao baada ya Dr. kupotea ghafla sababu ya fisasi Lowosa kuvamia, waliye mponda usiku na mchana .
 
Tatizo lako huelewi siasa sio dini,huku hakuna adui wala rafiki wa kudumu.Angalia marekani waliteketeza Japan na Ujerumani 1945,leo ni marafiki wakubwa.Siasa ni dynamic sio static.
 
AMA KWELI CCM MMEISHIWA SERA,we endelea tu na uzushi na kubwabwaja halafu tutakutana october 25.
 
Hiki chama cha CHADEMA ni CHA WENYEWE (wanafamilia). Wanachama ni kama manamba (au wapagazi kwa siafu/mchwa/chunguchungu) wanaofanyia kazi wenye chama ya kuandamana, kuandika kwenye mablog, kutumiana message za propaganda zisizo na kichwa wala miguu. Hivi WAAJIRIWA WANAWEZA KUMKEMEA MWAJIRI AKIAMUA KUAJIRI MFANYAKAZI MPYA? au akiamua kuuza share za kampuni yake? Angalia Slaa alipojaribu kupinga yaliyomtokea. Angalia Zitto alipojaribu kupinga yaliyomtokea. Ndio wanaoitwa "wanachama" hawana jinsi zaidi ya kukubali maamuzi ya wenye chama na kuwapigia makofi na kutetea tu hata upuuzi wa wazi unaofanywa na wenye chama. Hii kitu CCM haiwezekani eti Mbowe aje halafu tumweke mgombea urais.
 
Well said, jamaa waliniamisha kuwa Lowoss ni fisadi papa, leo dhamira yangu inasuta na nimeeapa kutompa kura na baya Zaidi nimepoteza imani nao baada ya Dr. kupotea ghafla sababu ya fisasi Lowosa kuvamia, waliye mponda usiku na mchana .

usimpe kura yako mpelekee nape chumba utarudi na zawadi ya mimba
 
Hiki chama cha CHADEMA ni CHA WENYEWE (wanafamilia). Wanachama ni kama manamba (au wapagazi kwa siafu/mchwa/chunguchungu) wanaofanyia kazi wenye chama ya kuandamana, kuandika kwenye mablog, kutumiana message za propaganda zisizo na kichwa wala miguu. Hivi WAAJIRIWA WANAWEZA KUMKEMEA MWAJIRI AKIAMUA KUAJIRI MFANYAKAZI MPYA? au akiamua kuuza share za kampuni yake? Angalia Slaa alipojaribu kupinga yaliyomtokea. Angalia Zitto alipojaribu kupinga yaliyomtokea. Ndio wanaoitwa "wanachama" hawana jinsi zaidi ya kukubali maamuzi ya wenye chama na kuwapigia makofi na kutetea tu hata upuuzi wa wazi unaofanywa na wenye chama. Hii kitu CCM haiwezekani eti Mbowe aje halafu tumweke mgombea urais.

Chama cha CHADEMA!!
 
haha chadema mmeishiwa maneno siku izi,naomba tu mkubali mtokeo kua ujio wa lowasa cdm ni tatizo.
 
Kwa namna nisiyoitarajia leo nmekumbuka ule mstari wa biblia unaosema “Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga???? Nikawafananisha Wagalatia na UKAWA kwa kweli. Maana Wagalatia walihasi imani yao kwa kutenda na kuyageukia yale ambayo walikuwa wanayakemea mwanzoni na kuyafanya kuwa ndio mtindo wa maisha yao. Hii haina tofauti sana na kilichotokea UKAWA kwani walilaani sana kuhusu ufisadi na walikuwa wanasubiria kwa hamu kuwa CCM wamteue Edward Lowassa{ mtu ambaye viongozi wote wa UKAWA walimshutumu na kumtangaza kuwa ni fisadi} kama mgombea wao wa nafasi ya uraisi. Lakini leo hii bila aibu wanamnadii tena hadharani na kumtetea haswaaaa kwa kila kitu anachokifanya. Mmmhhh kweli UKAWA mmehasi imani yenu ya kuwachukia mafisadi na hakika nashindwa kuelewa ni nani aliyewaroga kiasi hicho. Inakuwaje uchafu wa mtu ukasafishika kirahisi hvyo; au ule ubaya wake mliokuwa mnausema ukageuka kuwa wema ghafla??? Nadhani Tanzania inahitaji viongozi wenye msimamo pia kuongozwa na vyama vyenye misimamo. Zaidi ya yote inahitaji viongozi na chama ambacho kitaweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wananchi. Wengi walidhani kuwa Mh.Kikwete atamteue EL kwa sababu ya urafiki wao; lakini nampongeza Mh.Kikwete kwa kutambua kuwa maslahi ya nchi ni ya muhimu zaidi kuliko mahusiano ya kirafiki. Eti leo kwenye mitandao ya kijamii bila hata haya mnapost picha yenye maneno eti shujaa amezaliwa leo……leo mnamuita shujaa wakati siku za nyuma mlimtangaza kama fisadi aliyekubuhu. Hakika mnahitaji kujichunguza ni wapi mlipokosea ili mpate kuirudia imani yenu.

Udini udini udini Ubaguzi ubaguzi ubaguzi ,pumbavu kabisa wewe na lofa mkubwa ...Kwa nini unawatenga watu ?.Jinga wewe.Usichanganye siasa na mambo ya dini hata siku moja ,sio kawaida yetu Watanzania..
 
Sijui ni kwa nini mod wanaiacha hii kitu mbaya namna hii ikitamba katika jukwaa ...
 
Kwa namna nisiyoitarajia leo nmekumbuka ule mstari wa biblia unaosema “Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga???? Nikawafananisha Wagalatia na UKAWA kwa kweli. Maana Wagalatia walihasi imani yao kwa kutenda na kuyageukia yale ambayo walikuwa wanayakemea mwanzoni na kuyafanya kuwa ndio mtindo wa maisha yao. Hii haina tofauti sana na kilichotokea UKAWA kwani walilaani sana kuhusu ufisadi na walikuwa wanasubiria kwa hamu kuwa CCM wamteue Edward Lowassa{ mtu ambaye viongozi wote wa UKAWA walimshutumu na kumtangaza kuwa ni fisadi} kama mgombea wao wa nafasi ya uraisi. Lakini leo hii bila aibu wanamnadii tena hadharani na kumtetea haswaaaa kwa kila kitu anachokifanya. Mmmhhh kweli UKAWA mmehasi imani yenu ya kuwachukia mafisadi na hakika nashindwa kuelewa ni nani aliyewaroga kiasi hicho. Inakuwaje uchafu wa mtu ukasafishika kirahisi hvyo; au ule ubaya wake mliokuwa mnausema ukageuka kuwa wema ghafla??? Nadhani Tanzania inahitaji viongozi wenye msimamo pia kuongozwa na vyama vyenye misimamo. Zaidi ya yote inahitaji viongozi na chama ambacho kitaweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wananchi. Wengi walidhani kuwa Mh.Kikwete atamteue EL kwa sababu ya urafiki wao; lakini nampongeza Mh.Kikwete kwa kutambua kuwa maslahi ya nchi ni ya muhimu zaidi kuliko mahusiano ya kirafiki. Eti leo kwenye mitandao ya kijamii bila hata haya mnapost picha yenye maneno eti shujaa amezaliwa leo……leo mnamuita shujaa wakati siku za nyuma mlimtangaza kama fisadi aliyekubuhu. Hakika mnahitaji kujichunguza ni wapi mlipokosea ili mpate kuirudia imani yenu.

Kamwe ninyi magamba hamtaweza kupandikiza chuki ndani ya chadema na ukawa!
Kwanza hamkuamini kama tutaachiana majimbo, pili hamkuamini kama tutasimamisha mgombea mmoja wa uraisi, hamkuamini kama kupumzika kwa Slaa hakutaleta kizaza chadema, hamkuamini kuwa Lipumba akijiengua ataenda na kichwa chake tu! Hayo yamewachanganya sana! Hamkuamini lakini sasa mmelazimika kuamini!
Jitihada zote za magamba kuleta uchonganishi zimegonga mwamba!
Ushauri wa bure ni kuwa jiandaeni kisaikologia kuwa chama kikuu cha upinzani, na si ajabu hata nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani mkaikosa! Na wengine kama kina nanhii waanze kutafuta uvungu wa kujificha!!! maana hawaamini kama rais ajaye atatunza Ahadi yake ya kutokulipiza kisasi! japo ni kweli hatalipiza kisasi!
 
Kwa namna nisiyoitarajia leo nmekumbuka ule mstari wa biblia unaosema “Enyi Wagalatia ni nani aliyewaroga???? Nikawafananisha Wagalatia na UKAWA kwa kweli. Maana Wagalatia walihasi imani yao kwa kutenda na kuyageukia yale ambayo walikuwa wanayakemea mwanzoni na kuyafanya kuwa ndio mtindo wa maisha yao. Hii haina tofauti sana na kilichotokea UKAWA kwani walilaani sana kuhusu ufisadi na walikuwa wanasubiria kwa hamu kuwa CCM wamteue Edward Lowassa{ mtu ambaye viongozi wote wa UKAWA walimshutumu na kumtangaza kuwa ni fisadi} kama mgombea wao wa nafasi ya uraisi. Lakini leo hii bila aibu wanamnadii tena hadharani na kumtetea haswaaaa kwa kila kitu anachokifanya. Mmmhhh kweli UKAWA mmehasi imani yenu ya kuwachukia mafisadi na hakika nashindwa kuelewa ni nani aliyewaroga kiasi hicho. Inakuwaje uchafu wa mtu ukasafishika kirahisi hvyo; au ule ubaya wake mliokuwa mnausema ukageuka kuwa wema ghafla??? Nadhani Tanzania inahitaji viongozi wenye msimamo pia kuongozwa na vyama vyenye misimamo. Zaidi ya yote inahitaji viongozi na chama ambacho kitaweza kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya wananchi. Wengi walidhani kuwa Mh.Kikwete atamteue EL kwa sababu ya urafiki wao; lakini nampongeza Mh.Kikwete kwa kutambua kuwa maslahi ya nchi ni ya muhimu zaidi kuliko mahusiano ya kirafiki. Eti leo kwenye mitandao ya kijamii bila hata haya mnapost picha yenye maneno eti shujaa amezaliwa leo……leo mnamuita shujaa wakati siku za nyuma mlimtangaza kama fisadi aliyekubuhu. Hakika mnahitaji kujichunguza ni wapi mlipokosea ili mpate kuirudia imani yenu.

wewe mwenyewe -wanza juwa aliyekuroga
 
Back
Top Bottom