Sisi ndio wananchi na sisi ndio wapiga kura. Ubabe, Vijembe, Matusi haisaidii. Sisi tumemkubali. Alete maendeleo, hasilete, tutamchagua tu. Tumechoka!!!
Miaka miwili kafanya makubwa kuliko miaka 50. Ni dalili njema kwa wataka mabadiliko. Anaweza!!
Serikali imara kama kiongozi Fisadi inamshitaki. Miaka 8 yupo benchi hamjamshtaki halafu leo mnatuambia Fisadi! Hatuwaelewi! Imekula kwenu.
Unapomnyooshea mwenzako kidole, eti mchafu, jiangalie na wewe msafi?
Wananchi tumeamua!

Mimi hata awe hatembei,haongei ntampa kura
Hata kama fisadi utamchagua?.that's wht so called ULO**& UPU***....,chagua wa ACT wewe..
Sisi ndio wananchi na sisi ndio wapiga kura. Ubabe, Vijembe, Matusi haisaidii. Sisi tumemkubali. Alete maendeleo, hasilete, tutamchagua tu. Tumechoka!!!
Miaka miwili kafanya makubwa kuliko miaka 50. Ni dalili njema kwa wataka mabadiliko. Anaweza!!
Serikali imara kama kiongozi Fisadi inamshitaki. Miaka 8 yupo benchi hamjamshtaki halafu leo mnatuambia Fisadi! Hatuwaelewi! Imekula kwenu.
Unapomnyooshea mwenzako kidole, eti mchafu, jiangalie na wewe msafi?
Wananchi tumeamua!
uwaziri mkuu miaka 2 kafanya makubwa yapi? miaka yake ktk utumishi wa uma kafanya makubwa yapi. acha kukariri propaganda kama kasuku. kazi za magufuli ni kubwa mno. watu wa kaskazini hamuwezi kujua kwa vile tayari mlishakuwa na mabarabara.
kuwa na akili ww, hayo hajafanya yy yamefanywa na serikali madhubuti ya ccm chini ya jemedari JK. Na alipohusika na rushwa serikali hiyohiyo madhubuti ya CCM ikamshinikiza ajiuzuru na upo uwezekano wakampeleka mahakamani kama Mramba na Yona.
WW akili yako haiwezi kuwa sawa kwa kumfgilia raisi mtetea wabakaji na ugaidi, jamani hata kama umehongwa acha kujitoa akili na utu wako kiasi hiko ni udhaifu mkubwa.
una msapoti mgombea mwenye kuwadharau wa tanzania kwa kiwango kisichovumilika, yaani anawabebea na mabasi kutoka mikoani kuja da kuwaambia nendeni mkasome hotuba ya uzinduzi mtandaoni. Sasa tunajiuliza huyu fisadi msaka uraisi wa nchi kwa kutumia pesa ana nia njema kweli na nchi yetu, jibu? ni hapana tunamtaka aache kuhadaa wananchi wamemchoka na uwongo wake, ni aibu mtu mzima kama yy kuwa muongo
ndio maana hashindi wachache wana akili mbaya kama yako.Mimi hata awe hatembei,haongei ntampa kura
Ndio maana mkapa kawaita malofa.
Nchi hii ina wenyewe wewe!
Kwamiaka ishirini nimekuwa nikiimbishwa sera za ccm maji maji, barabara, afya, vinafanyika ila nikipiga speed ya utekelezaji na mda, haitaji rocket science.... Lowasa baba kura hii ni yako napia naahidi nitashawishi wengine kumi mbali na familia yangu mke wangu, house girl, house boy, mlinzi, kwa all means necessary zije kwako... Hata wakuite gaidi sio fisadi peke yake...