Recent content by MTENDAHAKI2

  1. M

    Waarabu wabaya sana, CUF na Wazenji wanataka kurudisha waarabu

    hata km baba yako anakuja pia karibu zanzibar ni njema atakae na aje hata familia yenu yote
  2. M

    TANESCO Morogoro ni kichefuchefu

    Ni kawaida ya mkoa wa Morogoro kukatika kwa umeme mara kwa mara tena bila ya taarifa, hivi hamuoni kua mnatutia hasara maana kila cku mnaunguza vitu vyetu,kiukweli mumeoza na inakera hasa maeneo ya Mjini na mitaa yake! Uthibitisho leo umekatika mara tatu
  3. M

    CHADEMA: Mission failed

    ni kwamba watanzania wamejua kweli juu ya SIASA ZA CHUKI
  4. M

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    mm nadhani ni wakt wa zanzibar kuitisha kura ya maoni na kuamua kwani KOTI LIKIKUBANA LIVUE,na Kesi hakusoma kwani kuna nchi inaitwa NAURU ni ndogo lakn inakiti cha kudumu ktk UN km tz NI BORA TULIVUE TU,wakati wa muungano TANGANYIKA ilichukua pesa toka znz zipo wapi? hela za pay as one,ushuru...
  5. M

    Mwanamke hahitaji muda mrefu kuandaliwa

    je? nikweli kuwa mwanamke kufanya mapenzi mpaka mchezee au ?
  6. M

    Raia ajinyonga kwa kamba mjini Morogoro

    Eneo gani? Mm nipo moro ni sehemu gani? Ya morogoro alipojinyongea?
  7. M

    Hawa ndio tanesco na karne ya 21

    Ni siku ya tatu tokea wakaazi wa misufini kata ya MAFIGA wilayani Morogoro kuona nishati ya umeme,hivi ingekua KWAMABOSI wangefanya hivi tena basi hata taarifa hakuna nanukuu maneno ya MPOTO "Kukumbatia maji kama jiwe ni UJINGA" TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA
  8. M

    Hivi kweli Sheikh Ponda tu au....?!!

    Ni kweli na ninaheshimu hayo mawazo yako,
  9. M

    Kuelekea kusikilizwa kesi ya Sheikh Ponda; ITIKAFU kubwa ya taifa kusomwa usiku huu Morogoro

    Mungu akuongoze juu ya kauli yk KISHA Mungu awape elimu waislam ili wasiangamie.AMIIN
  10. M

    Polisi waendesha kamata kamata Posta

    Cku hizi vibaka nao wamo kila sehemu hata jf halafu ni ya polisi kukamata kama hujui,
  11. M

    Tatizo la kuwafikisha Wanawake kileleni

    NI kweli usikaribie zinaa hebu aowe kisha utaona?
  12. M

    Kulipwa Mshahara Mkubwa Serikalini inategemea Nini UTUMISHI?

    Ni kweli kabisa ila no longer it is! LAKINI kuna taasisi km mahakama,polisi,uhamiaji,magereza wote hawa nao wanaingizia serikali sasa je? Mbn wanalipwa mishahara midogo na ndio chanzo cha rushwa haishi kwao,
  13. M

    Polisi wa ulaya akata viuno je polisi wa bongo anaweza hivyo?

    Ndio kwani kuna polisi day na huwa wanacheza na kufurahi
  14. M

    JE? Nn hatima wa viongozi wa kenya kule UHOLANZI,

    Msaada wa kujiuliza ni nini? Hatima ya viongozi wa kenya waliofikishwa katika MAHAKAMA ya UHALIFU WA KIVITA endapo watapatikana na hatia ? kwa mujibu wa sheria gani?
Back
Top Bottom