Kulipwa Mshahara Mkubwa Serikalini inategemea Nini UTUMISHI?

Inanambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,063
Reaction score
2,875
Ninaushangaa utaratibu wa kulipa mishahara Serikalini isiyozingatia Elimu na Seniority kwa taasisi kadhaa za serikali. Ikiwa unafanya kazi kwenye Taasisi za Serikali zinazokusanya mapato hata kama shule yako ni Ndogo unalipwa mshahara Mkubwa kuliko Mwenye Phd wa Serikali kuu asiyekusanya Mapato hata kama mko Wizara moja.

Kwa mfano Mshahara wa Dereva wa TPA ni Mkubwa kuliko wa Afisa Utumishi wa Wizara ya Uchukuzi mwenye Masters. Nyongeza za Mishahara za mwaka 2013/2014kwa watumishi wa Mamlaka zinatisha.Nyongeza hadi Milioni 1.5 wakati serikali kuu wakiambulia Elfu 30, 40. 50, hadi laki moja.

Heshima ya Kusoma au kijiendeleza kazini inapotea kwa sababu Wenye elimu ndogo Serikalini wanapata Mishahara Mikubwa kuliko wenye Elimu kubwa. Huwa nashindwa kuamini UTUMISHI inawezaje kupitisha mishahara mikubwa kwa Wasiosoma na kuacha Wasomi wakiishi kama HAYAWANI kazini.

Heshima ya Kusoma na Seniority mbona imepotea? Wengi siku hizi hawana tamaa ya kujiendeleza kazini kwa sababu kipato
hakikutofautishi na asiyesoma.

Huko kwenye Authorities na Wakala watumishi wote wa Serikalitunaweza kupata kazi huko ili tulipwe vizuri kwa kuwa tunakusanya mapato? Kama hoja ni kukusanya mapato ningeshauri Wataalam wa Serikali tubadilishane baada ya muda fulaniwengine waende Serikali kuu na wengine Waende kwenye Agencies na Authorities.

Kimbembe kwenye kuilipana Pension ya Kustaafu. Wapo watakaoondoka na Milion 900 na wenginemilioni 150 japo walifanya kazi sawa wizara moja ie Mhasibu mkuu wa TCRA,TANROADS,SUMATRA,TPA/Mhasibu mkuu wa Wizara ya Afya/Uchukuzi/kilimo.

Tafadhali UTUMISHI WA UMMA NA HAZINA mrekebishe Kupishana huku kunakopelekea Watumishi wengine wa Umma Waishi kama Hayawani ilihali wenzao wakiishi na Kujitajirisha kwa PESA ZA UMMA ambazo hazitoki Mifukoni mwao kwa kisingizio cha TAASISI zinazokusanya.
 
ole wetu madaktari sijui nan atatusikiliza
 
Ni kweli kabisa ila no longer it is! LAKINI kuna taasisi km mahakama,polisi,uhamiaji,magereza wote hawa nao wanaingizia serikali sasa je? Mbn wanalipwa mishahara midogo na ndio chanzo cha rushwa haishi kwao,
 
Umenena vema Inanambo....mishahara ya serikali ni kizungumkuti mtu mwenye degree anayeanza kazi wizara ya fedha mshahara shs 600,000 ila mtu mwenye elimu hiyo hiyo wizara hiyo hiyo ila upande wa PSPF au NSSF anachukua 1,800,000. Hii inasababisha watu kukosa uzalendo katika kuwajibika. Mi mwenzenu ikifika asubuhi nikishasaini in natafuta jua lilipo niote
 
Ninaushangaa utaratibu wa kulipa mishahara Serikalini isiyozingatia Elimu na Seniority kwa taasisi kadhaa za serikali. Ikiwa unafanya kazi kwenye Taasisi za Serikali zinazokusanya mapato hata kama shule yako ni Ndogo unalipwa mshahara Mkubwa kuliko Mwenye Phd wa Serikali kuu asiyekusanya Mapato hata kama mko Wizara moja.

Kwa mfano Mshahara wa Dereva wa TPA ni Mkubwa kuliko wa Afisa Utumishi wa Wizara ya Uchukuzi mwenye Masters. Nyongeza za Mishahara za mwaka 2013/2014kwa watumishi wa Mamlaka zinatisha.Nyongeza hadi Milioni 1.5 wakati serikali kuu wakiambulia Elfu 30, 40. 50, hadi laki moja.

Heshima ya Kusoma au kijiendeleza kazini inapotea kwa sababu Wenye elimu ndogo Serikalini wanapata Mishahara Mikubwa kuliko wenye Elimu kubwa. Huwa nashindwa kuamini UTUMISHI inawezaje kupitisha mishahara mikubwa kwa Wasiosoma na kuacha Wasomi wakiishi kama HAYAWANI kazini.

Heshima ya Kusoma na Seniority mbona imepotea? Wengi siku hizi hawana tamaa ya kujiendeleza kazini kwa sababu kipato
hakikutofautishi na asiyesoma.

Huko kwenye Authorities na Wakala watumishi wote wa Serikalitunaweza kupata kazi huko ili tulipwe vizuri kwa kuwa tunakusanya mapato? Kama hoja ni kukusanya mapato ningeshauri Wataalam wa Serikali tubadilishane baada ya muda fulaniwengine waende Serikali kuu na wengine Waende kwenye Agencies na Authorities.

Kimbembe kwenye kuilipana Pension ya Kustaafu. Wapo watakaoondoka na Milion 900 na wenginemilioni 150 japo walifanya kazi sawa wizara moja ie Mhasibu mkuu wa TCRA,TANROADS,SUMATRA,TPA/Mhasibu mkuu wa Wizara ya Afya/Uchukuzi/kilimo.

Tafadhali UTUMISHI WA UMMA NA HAZINA mrekebishe Kupishana huku kunakopelekea Watumishi wengine wa Umma Waishi kama Hayawani ilihali wenzao wakiishi na Kujitajirisha kwa PESA ZA UMMA ambazo hazitoki Mifukoni mwao kwa kisingizio cha TAASISI zinazokusanya.

Mkuu hii nchi imejaa dhulma nyingi sana kwa raia wake. Hata baadhi ya wahadhiri wa baadhi ya vyuo vya NACTE wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wahadhiri wa vyuo vikuu ambao hata kama wana sifa zinazolingana.
 
Ninaushangaa utaratibu wa kulipa mishahara Serikalini isiyozingatia Elimu na Seniority kwa taasisi kadhaa za serikali. Ikiwa unafanya kazi kwenye Taasisi za Serikali zinazokusanya mapato hata kama shule yako ni Ndogo unalipwa mshahara Mkubwa kuliko Mwenye Phd wa Serikali kuu asiyekusanya Mapato hata kama mko Wizara moja.

Kwa mfano Mshahara wa Dereva wa TPA ni Mkubwa kuliko wa Afisa Utumishi wa Wizara ya Uchukuzi mwenye Masters. Nyongeza za Mishahara za mwaka 2013/2014kwa watumishi wa Mamlaka zinatisha.Nyongeza hadi Milioni 1.5 wakati serikali kuu wakiambulia Elfu 30, 40. 50, hadi laki moja.

Heshima ya Kusoma au kijiendeleza kazini inapotea kwa sababu Wenye elimu ndogo Serikalini wanapata Mishahara Mikubwa kuliko wenye Elimu kubwa. Huwa nashindwa kuamini UTUMISHI inawezaje kupitisha mishahara mikubwa kwa Wasiosoma na kuacha Wasomi wakiishi kama HAYAWANI kazini.

Heshima ya Kusoma na Seniority mbona imepotea? Wengi siku hizi hawana tamaa ya kujiendeleza kazini kwa sababu kipato
hakikutofautishi na asiyesoma.

Huko kwenye Authorities na Wakala watumishi wote wa Serikalitunaweza kupata kazi huko ili tulipwe vizuri kwa kuwa tunakusanya mapato? Kama hoja ni kukusanya mapato ningeshauri Wataalam wa Serikali tubadilishane baada ya muda fulaniwengine waende Serikali kuu na wengine Waende kwenye Agencies na Authorities.

Kimbembe kwenye kuilipana Pension ya Kustaafu. Wapo watakaoondoka na Milion 900 na wenginemilioni 150 japo walifanya kazi sawa wizara moja ie Mhasibu mkuu wa TCRA,TANROADS,SUMATRA,TPA/Mhasibu mkuu wa Wizara ya Afya/Uchukuzi/kilimo.

Tafadhali UTUMISHI WA UMMA NA HAZINA mrekebishe Kupishana huku kunakopelekea Watumishi wengine wa Umma Waishi kama Hayawani ilihali wenzao wakiishi na Kujitajirisha kwa PESA ZA UMMA ambazo hazitoki Mifukoni mwao kwa kisingizio cha TAASISI zinazokusanya.
Mkuu hayo umeyfahamu lini? baada au kabla ya kupata kazi uliyo nayo sasa? Ukinijb ntakpatia ushauri mzuri.
 
Ndugu yangu haya nayafahamu tangu serikali ilipoamua kuanzisha wakala zake nikadhani mambo yatajipa automatic kuwa si rahisi mtu aliyesoma Vizuri tena hadi Phd kupata Mshahara mdogo kuliko asiye na Shahada tena mwenye Dv0 form four na Six wa Mamlaka zinazoambiwa zinakusanya Mapato za Serikali. Mwaka huu nimeshangaa napata nyongeza ya Sh 50 elfu kwenye mshahara wa 2013/2014 wakati Dereva, masjala personnel, messenger wa Hizo Mamlaka amepata nyongeza ya laki 5 hadi Milion! Wanacheka sisi tunalia Tumesoma, tumesoma nini wakati wao Pesa ya Serikali wanaipata nyingi tena kihalali kwa Idhini ya UTUMISHI NA HAZINA? Sasa nimeshakuwa MZEE siwezi kuajiriwa tena kokote nasubiri kustaafu na kulipwa pension ya milion 60. Naomba basi huo Ushauri because najuta kupoteza muda wangu secondary 4x2 plus Jeshi plus UNIVERSITY 3YEARS BACHELOR NA 2 YEARS MASTERS. Leo hii napitwa mshahara na wenye Certificate!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Inauma Sana.
 
Ninaushangaa utaratibu wa kulipa mishahara Serikalini isiyozingatia Elimu na Seniority kwa taasisi kadhaa za serikali. Ikiwa unafanya kazi kwenye Taasisi za Serikali zinazokusanya mapato hata kama shule yako ni Ndogo unalipwa mshahara Mkubwa kuliko Mwenye Phd wa Serikali kuu asiyekusanya Mapato hata kama mko Wizara moja.

Kwa mfano Mshahara wa Dereva wa TPA ni Mkubwa kuliko wa Afisa Utumishi wa Wizara ya Uchukuzi mwenye Masters. Nyongeza za Mishahara za mwaka 2013/2014kwa watumishi wa Mamlaka zinatisha.Nyongeza hadi Milioni 1.5 wakati serikali kuu wakiambulia Elfu 30, 40. 50, hadi laki moja.

Heshima ya Kusoma au kijiendeleza kazini inapotea kwa sababu Wenye elimu ndogo Serikalini wanapata Mishahara Mikubwa kuliko wenye Elimu kubwa. Huwa nashindwa kuamini UTUMISHI inawezaje kupitisha mishahara mikubwa kwa Wasiosoma na kuacha Wasomi wakiishi kama HAYAWANI kazini.

Heshima ya Kusoma na Seniority mbona imepotea? Wengi siku hizi hawana tamaa ya kujiendeleza kazini kwa sababu kipato
hakikutofautishi na asiyesoma.

Huko kwenye Authorities na Wakala watumishi wote wa Serikalitunaweza kupata kazi huko ili tulipwe vizuri kwa kuwa tunakusanya mapato? Kama hoja ni kukusanya mapato ningeshauri Wataalam wa Serikali tubadilishane baada ya muda fulaniwengine waende Serikali kuu na wengine Waende kwenye Agencies na Authorities.

Kimbembe kwenye kuilipana Pension ya Kustaafu. Wapo watakaoondoka na Milion 900 na wenginemilioni 150 japo walifanya kazi sawa wizara moja ie Mhasibu mkuu wa TCRA,TANROADS,SUMATRA,TPA/Mhasibu mkuu wa Wizara ya Afya/Uchukuzi/kilimo.

Tafadhali UTUMISHI WA UMMA NA HAZINA mrekebishe Kupishana huku kunakopelekea Watumishi wengine wa Umma Waishi kama Hayawani ilihali wenzao wakiishi na Kujitajirisha kwa PESA ZA UMMA ambazo hazitoki Mifukoni mwao kwa kisingizio cha TAASISI zinazokusanya.

Yahani unataka wazalishethen wasilipwe? kwa nini wewe usiombe kufanya kazi Authorities au Agency? mbona nafac huwa zinatangazwa kwa nini usi-apply? mmeanza kuonja machungu ya kibano cha ukaguzi WA CAG? maana mlizoea kuiba. Acha majungu, fanya kazi kama hutaki omba private au International Organazation ambako kuna mishahara mikubwa.
 
Pumba tupu! Nafasi zenyewe mnapeana kwa kujuana.Kwani kuna mtu ambaye hapendi maisha mazuri?
 
Ni lazima serikali iangalie jinsi ya kuondoa/kupunguza tofauti ya kipato miongon mwa watumishi wa umma lasivyo migomo na machafuko yataendelea kudumu milele.
 
Ninaushangaa utaratibu wa kulipa mishahara Serikalini isiyozingatia Elimu na Seniority kwa taasisi kadhaa za serikali. Ikiwa unafanya kazi kwenye Taasisi za Serikali zinazokusanya mapato hata kama shule yako ni Ndogo unalipwa mshahara Mkubwa kuliko Mwenye Phd wa Serikali kuu asiyekusanya Mapato hata kama mko Wizara moja.

Kwa mfano Mshahara wa Dereva wa TPA ni Mkubwa kuliko wa Afisa Utumishi wa Wizara ya Uchukuzi mwenye Masters. Nyongeza za Mishahara za mwaka 2013/2014kwa watumishi wa Mamlaka zinatisha.Nyongeza hadi Milioni 1.5 wakati serikali kuu wakiambulia Elfu 30, 40. 50, hadi laki moja.

Heshima ya Kusoma au kijiendeleza kazini inapotea kwa sababu Wenye elimu ndogo Serikalini wanapata Mishahara Mikubwa kuliko wenye Elimu kubwa. Huwa nashindwa kuamini UTUMISHI inawezaje kupitisha mishahara mikubwa kwa Wasiosoma na kuacha Wasomi wakiishi kama HAYAWANI kazini.

Heshima ya Kusoma na Seniority mbona imepotea? Wengi siku hizi hawana tamaa ya kujiendeleza kazini kwa sababu kipato
hakikutofautishi na asiyesoma.

Huko kwenye Authorities na Wakala watumishi wote wa Serikalitunaweza kupata kazi huko ili tulipwe vizuri kwa kuwa tunakusanya mapato? Kama hoja ni kukusanya mapato ningeshauri Wataalam wa Serikali tubadilishane baada ya muda fulaniwengine waende Serikali kuu na wengine Waende kwenye Agencies na Authorities.

Kimbembe kwenye kuilipana Pension ya Kustaafu. Wapo watakaoondoka na Milion 900 na wenginemilioni 150 japo walifanya kazi sawa wizara moja ie Mhasibu mkuu wa TCRA,TANROADS,SUMATRA,TPA/Mhasibu mkuu wa Wizara ya Afya/Uchukuzi/kilimo.

Tafadhali UTUMISHI WA UMMA NA HAZINA mrekebishe Kupishana huku kunakopelekea Watumishi wengine wa Umma Waishi kama Hayawani ilihali wenzao wakiishi na Kujitajirisha kwa PESA ZA UMMA ambazo hazitoki Mifukoni mwao kwa kisingizio cha TAASISI zinazokusanya.

mkuu hali ni mbaya, mwasibu aliyefeli kidato cha nne mwenye cheti cha miezi tisa anapata mshahara mkubwa kuliko msc. holder plus undergraduate =six years shuleni!
 
Yani hili swala linaumiza sana....tatizo humo kwenye authorities napo wanaingizana wenyewe. ..pata picha unaishi mazingira magumu ya kazi..porini..kwenda kufata huduma muhimu nauli 2000 na ka mshahara ka laki3...serikali haiko fair kabisaa..bora nipigane private tu
 
Sidhani kama unachokiongea unakifahamu au umetoka usingizini mkuu kanawe kwanza.
 
mkuu hali ni mbaya, mwasibu aliyefeli kidato cha nne mwenye cheti cha miezi tisa anapata mshahara mkubwa kuliko msc. holder plus undergraduate =six years shuleni!
Unaweza kutupa mifano kwa sababu ni kosa kuba sana kuongea vitu bila ukweli pengine vya kutunga tu.
 
Pumba tupu! Nafasi zenyewe mnapeana kwa kujuana.Kwani kuna mtu ambaye hapendi maisha mazuri?
Kwani maisha mazuri lazima serikalini kijana kwa mwendo huo utasota sana vijana wanajiajiri wala hawasubiri kuajiriwa wewe ngoja serikali ije ikupe ajira wakati nafasi zenyewe ni chache huko serikalini any way kaa subiri watakuita.
 
Umekufa kwani?mshahara huo mdogo ndo umekulinda till now,!acha lawama ,
 
Back
Top Bottom