Tatizo la kuwafikisha Wanawake kileleni

Tatizo la kuwafikisha Wanawake kileleni

Hahh hah inabidi uwe unawakatia stimu ili muende sawa na hata akikupita badi iwe kwa muda mfupi ili kila mmoja afike kilimani.lkn ni bora ufanye kihalali manake zinaa ni harmful.

NI kweli usikaribie zinaa hebu aowe kisha utaona?
 
Habari Wakuu,

Nina tatizo. Mara nyingi ninavyo kutana katika tendo na madem, najitahidi kuwafikisha kileleni kabla yangu mm, ila hasara ninayopata ni pale ambapo wakifika kileleni wanalegea kabisa kiasi kwamba najikuta najishughulisha mwenyewe.

Hivi hii hali ni kwangu tu au na hata nyie imewahi kuwakuta? Mimi namini kwa kufanya hivyo ni kulinda heshima yangu. Nipeni maoni yenu tafadhali.

Hongera sana kwa kufanikisha kumfikisha kileleni, maana kumfikisha kileleni mwanamke si jambo dogo, shukuru unalimudu. Suala la kulegea ni ishara ya yeye kuridhika na huduma yako nzuri, kikubwa zungumza naye taratibu atakuelewa lakini usijaribu kum-discourage kwa hali inayomkuta maana atashuka morali kifuatacho utakijua mbele....hivyo uwe makini unapozungumza naye
thanx
 
Akili zikizidi huondoa maarifa. Hao wazee mnaosema nyuchi zao zinapiga makofi ni mama zetu! Ivi kwann mnapenda kujifanya mapunguani? Inasikitisha sana.
 
mara nyingi hua inatokana na feelings za aliechelewa kuwa mbali hvyo jarbu kuzirudisha karbu ikishindkana, mparamie bila kumwandaa ili wakati gemu inachanganya iwakute wote mchezoni maana ww itakua faida kwako wakati unakarbia ku.... nyeye ndo atakuxaxa ndo umemuwashia mote vngnevyo labda inaezekana unachukua wazeeee angalia wasifie kifuani mwako
 
Acha uongo! Kama wewe ni mtaalam wa kufikisha wanawake kileleni hiki unachosema si sahihi. Ukifanikiwa kumsoma vizuri, mwanamke ana hatua anapokaribia kileleni.

Hali hii huzidi kumsisimua mwanaume sana na ndiyo maana tunashauriwa tujizuie kwani any time t, unaweza kumaliza then mwanamke akabaki njiani.

So, inapofika climax mwanamke anamaliza, ni kitendo cha sekunde kadhaa tu na mwanaume unamaliza! Suala la kusema mwanamke analegea.................... usiwadanganye wanaojifunza mapenzi!

These are what we call REAL MAN explanation..........
 
Back
Top Bottom