Recent content by Kv-london

  1. Kv-london

    Usiende kukopa kwa hizi kampuni maarufu za mikopo hasa kwa Watumishi wa Umma

    Saccos ni vikoba vilivyo komaa na Wana mtaji mkubwa almost 10b-20bl Saccos iliyokomaa inakuwa bank
  2. Kv-london

    Usiende kukopa kwa hizi kampuni maarufu za mikopo hasa kwa Watumishi wa Umma

    Nilichoamua baada ya kuona mabank yananinyanyasa Sana kiuchumi niliamua kujiunga na SACCOS na sijawah kujuta mpaka Loan interest 10.2 per annum Kwa mwaka unakula 100k kwenye mkutano mkuu then tunae Dharula loan interest 7.5 per year hii inae limit up to 4ml So vijana jiungeni tu na SACCOS...
  3. Kv-london

    Usiende kukopa kwa hizi kampuni maarufu za mikopo hasa kwa Watumishi wa Umma

    Hata mabank nayo ni kichefu chefu ukikopa 10m for 5 years just utalipa around 20-22ml Nahiyo 10m hupew yote hapo watakata Bima ya mkopo and Processing fees Utaingiziwa around 9.1m Kwa account Yako and You will need to pay the amount I mentioned above
  4. Kv-london

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Mm niliivaaan na mwanamke fulan back in time na ndoa tukafunga Alinisumbua Bado nusu nijinyonge But nkajikaza nkapiga moyo konde nkaamua kutalikiana nae Wengine wapo Akampata mwanamke mwingine anae adabu balaa nashukur mung now na kitambi kinatoka Yes,I made a mistakes just because life comes...
  5. Kv-london

    Ushauri: Alinivumilia wakati sina kazi lakini tukaacha nilipokaribia kupata kazi, nimepata mwingine sasa haachi kunisumbua turudiane

    Move on na wew Block her namber Unfollow her from social medias Hope it will save your ass Goodluck
  6. Kv-london

    Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    Ili uweze kuwa mshaur mzur lazima ww mwenywe kile unachokishaur uwe umesha kifanya au unakiishi Mkuu ulishawah kufanya biashara yeyote? Tuanzie hapo kwanza
  7. Kv-london

    Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

    Mm nataka kufahamu namna ya kupata mafuta Kwa mtu mwenywe kituo kidogo Cha mafuta
  8. Kv-london

    Wabunge Musukuma na Kishimba wanathibitisha wasomi wetu ni chenga

    Akili ni kile kinachobakia baada ya kumaliza shule Wasomi wengi hawana akili za kufanya maamuzi Kwa maslahi ya uma Ngoja muswada uletwe bungeni na Jao wabunge wawe wanapewa mafao Yao 33% then iliyobaki wawe wanapewa kidog kidogo
  9. Kv-london

    Crazy things you did in secondary school

    Tuliosoma bagamoyo (magambani) from 2008-............. Kunya baharini along side the beach ilikuwa very easy no matter what,mkono wako unachimba shimo kidogo inakata gogo unafukia then you go But nliacha kunya beach ..... guess what Siku nlipochimba shimo na mkono then nkakutana na mav...
  10. Kv-london

    Crazy things you did in secondary school

    Tuliosoma bagamoyo (magambani) from 2008-............. Kunya baharini along side the beach ilikuwa very easy no matter what,mkono wako unachimba shimo kidogo inakata gogo unafukia then you go But nliacha kunya beach ..... guess what Siku nlipochimba shimo na mkono then nkakutana na mav...
  11. Kv-london

    Series: Maisha na Muziki

    Hotel California - the eagles Maisha ya boarding - J-mo Kasimu mganga -Awena
  12. Kv-london

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Mm nliona kunguuni for the first time 2010 nkiwa field huko upareni aisee asiambie mtu kunguuni Wana ng'ata mbaya Na nlivyo mweupe mpaka Field inaisha nlikuwa naitwa black albino 😁😁😁😁
  13. Kv-london

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    Mungu asaidie nn hapo Sasa,wakiishi waishi tu wakifa basi life must goes on wether you're crying or your laughing 👍
  14. Kv-london

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Mm nimekaa kigoma almost 6 yrs Wilaya ya buhingwe manyovu border Ww tuliza mshono mdogo wangu hizo 15ml amekukopeaha nan? Salary yenywe haifiki hata 600k ww Ww akili Yako Bado ndogo Sana kutokana na utoto na umri wa kazi Na hujui kazi za serekali zinavyoenda Tafuta mtoto mzuri wa kiha uwe...
  15. Kv-london

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    EU countries zote zina mfumo mmoja wa elimu unaitwa bologna agreement Kama hawahitaji IELTS basi watakulazisha usome Kwa lugha Yao wether it's a Polish or Danish etc
Back
Top Bottom