Ili uweze kuwa mshaur mzur lazima ww mwenywe kile unachokishaur uwe umesha kifanya au unakiishi
Mkuu ulishawah kufanya biashara yeyote?
Tuanzie hapo kwanza
Akili ni kile kinachobakia baada ya kumaliza shule
Wasomi wengi hawana akili za kufanya maamuzi Kwa maslahi ya uma
Ngoja muswada uletwe bungeni na Jao wabunge wawe wanapewa mafao Yao 33% then iliyobaki wawe wanapewa kidog kidogo
Tuliosoma bagamoyo (magambani) from 2008-.............
Kunya baharini along side the beach ilikuwa very easy no matter what,mkono wako unachimba shimo kidogo inakata gogo unafukia then you go
But nliacha kunya beach ..... guess what
Siku nlipochimba shimo na mkono then nkakutana na mav...
Tuliosoma bagamoyo (magambani) from 2008-.............
Kunya baharini along side the beach ilikuwa very easy no matter what,mkono wako unachimba shimo kidogo inakata gogo unafukia then you go
But nliacha kunya beach ..... guess what
Siku nlipochimba shimo na mkono then nkakutana na mav...
Mm nliona kunguuni for the first time 2010 nkiwa field huko upareni aisee asiambie mtu kunguuni Wana ng'ata mbaya
Na nlivyo mweupe mpaka Field inaisha nlikuwa naitwa black albino 😁😁😁😁
Mm nimekaa kigoma almost 6 yrs Wilaya ya buhingwe manyovu border
Ww tuliza mshono mdogo wangu hizo 15ml amekukopeaha nan?
Salary yenywe haifiki hata 600k ww
Ww akili Yako Bado ndogo Sana kutokana na utoto na umri wa kazi Na hujui kazi za serekali zinavyoenda
Tafuta mtoto mzuri wa kiha uwe...
EU countries zote zina mfumo mmoja wa elimu unaitwa bologna agreement
Kama hawahitaji IELTS basi watakulazisha usome Kwa lugha Yao wether it's a Polish or Danish etc
Na kama huwezi kuwa na hiyo chet ya lugha sahau kuhusu kusom ulaya through scholarship sabab Tanzania sio native English speaker of English language
Course zinatolewa British council etc
Fees 560000 per seat
Border ya mexico this time ni ngumu na ukikamaywa ukiwa unavuk daraja wanakurufisha mexico
Ukiomba asylum pia all the processes will be done while you're in Mexico
Vyuo vya nje ni gharam ambapo ni nafuu labda German, Norway, Finland etc navyo wanataka at least uwe na €10000 sawa na Tsh 30mls Ili upate visa
Shape your English language first uwe na
IELTS or TESOL certification and
Biometric passport Ili iwe rahisi kwako kupat hizo nafasi
Nchi ambayo ni...
Kg 55 mtu mzima hiyo ni sign ya malnutrition Hufai hata kumchangia mtu damu etiiii
Nlikuwa na kg 55 nlipomaliza form 4-2005
Jitahidi kula kula mdogo wang
Mkuu jitahidi kula vizuri
Nchi za wenzetu ambao ni visa free lazima wajue una kiasi gan kwenye account Cha ku spend ndan ya nchi Yao so it is possible but it is not easy
Then lazima ukate ticket ya kwenda na kurudi so it is expensive as well
Heb chukulia mfano wa Singapore ni free visa for tanzanian passport holder but...
Na hicho chumba kimoja umekijenga masaki mkuu?
Ila sio mbaya huyo njaa Kali ,but next time mkomeshe umeombe 0712..... Kama wew ni muumini but sometimes it's better to try a new things😁😁😁
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.