Recent content by Mtemi wa Watemi

  1. Mtemi wa Watemi

    IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    Mimi naona ni kweli kasi ya ukuaji wa uchumi imepungua lakini sio kwa sababu ZOTE hasi. Kuna namna hawa wazungu wametutega kiasi kwamba tukichukua hatua chanya kufanya mambo yetu wenyewe kwa faida yetu kuna matokeo HASI yanatokea na wanatumia nafasi hiyo kutuvuruga. Bahati mbaya sana wachumia...
  2. Mtemi wa Watemi

    Unawezaje mtu binafsi kusimama kwa niaba ya familia na kizazi chako??

    Mi nadhani ili kujikwamua na kuacha legacy kwa kizazi chako ni kujitoa, kuachana na anasa hata kama una uwezo nazo lakn acha uelekeze nguvu kwny kazi. Mi naona hapa ndo watu wengi tunafeli, mtu yupo radhi akope deni atakalolilipa kwa miaka mitano wakati anaanza kazi ili tu apange ghorofani na...
  3. Mtemi wa Watemi

    Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Chalii kwa huu utaratibu wako hata mshahara wa milioni 2 utakuwa haukutani hahahahah!! Mi nadhani cha msingi hesabu zifanyike kwa mwezi tu. Uuze duka na ujitahidi kuishi kulingana na faida yako ya mwisho wa mwezi na hapo ni busara mtu ukaliendesha duka angalau miezi 6 ya mwanzo bila kutegemea...
  4. Mtemi wa Watemi

    Naomba utaratibu wa kufungua kampuni ya kuuza magari/yard

    Nimekuelewa mkubwa, nimeipata point yako na ninajua umuhimu wa hizo info zote na ndo maana nimeweka email just in case mtu atakuwa interested anaweza kupata hizo taarifa zingine zote!! sidhani kama mtu unaweza kuproceed na business bila kupata na kujiridhisha na taarifa zote ila pia sio taarifa...
  5. Mtemi wa Watemi

    Naomba utaratibu wa kufungua kampuni ya kuuza magari/yard

    Mambo vipi wadau, mimi ni mtanzania kwa sasa nipo nchini Japan kimasomo. Nikiwa Japan nimepata nafasi kufanya kazi muda wangu wa ziada kwenye kampuni inayouza magari yaliotumika na vifaa vya magari. Mmiliki wa kampuni anatafuta wateja na washirika wa biashara Tanzania. BEI NI NZURI SANA. nicheck...
  6. Mtemi wa Watemi

    Naomba utaratibu wa kufungua kampuni ya kuuza magari/yard

    Mambo vipi wadau, mimi ni mtanzania kwa sasa nipo nchini Japan kimasomo. Nikiwa Japan nimepata nafasi kufanya kazi muda wangu wa ziada kwenye kampuni inayouza magari yaliotumika na vifaa vya magari. Mmiliki wa kampuni anatafuta wateja na washirika wa biashara Tanzania. BEI NI NZURI SANA. nicheck...
  7. Mtemi wa Watemi

    Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

    umesahau sababu moja, kwa sababu wewe mwenye akili hujataka kufanya basi ndo maana wajinga wanafanya! Hii ni true sehemu nyingi sana vilaza wamekaa kwenye position ila wajanja kwa kukosa kuthubutu wamekaa kulaumu na kuzogoa tu otherwise kama wote tuna akili sawa, yani tunaona makosa ya wengine...
  8. Mtemi wa Watemi

    Mgonjwa anatoka Moro to Dar na treni ya umeme akifika Muhimbili anakosa dawa

    Mi nadhani watanzania tuache ushabikiaji na mikumbo, nadhani ni wazi hata tukianza leo kushughulikia mambo ya afya tu hatutafika maana magonjwa yanaibuka kila siku na ubaya wa hii ni kwamba sisi ni wanunuzi na watumiaji tu kwahiyo ni muda wote kutoa fedha je unadhani fedha haziwezi kuisha? ni...
  9. Mtemi wa Watemi

    Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

    kuwa makini mkuu muda mwingine source za Mange magumashi
  10. Mtemi wa Watemi

    Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

    kuna mambo hapa duniani, kwenye paper mtu ngoma inasimama na unapizi duu!! kudadeki mi nachoona mwana jitahid upate mtoto uwe unapiga kila siku utupe mrejesho.
  11. Mtemi wa Watemi

    Mh Rais kamwe usikubali hili jambo wanasiasa wanataka kukupima na haijawai kutokea

    Inaezekana pia ikawa ni ile system ya upigaji madili iliyozaliwa awamu ya tatu na kujikita zaidi awamu ya nne, mimi ninavojua kila mtanzania anafahamu jinsi ambavyo watu walivokuwa wanapiga madili kuanzia richmond, escrow na mengine zikiwemo biashara za madawa ya kulevya na ujangili. haya yote...
  12. Mtemi wa Watemi

    Aeshi Hilaly (Mb-CCM): Nilitishwa na Makonda hadi sasa naogopa kwenda Dar kwa usalama wangu

    Dogo alionywa sana haya mambo ya vita ya madawa ya kulevya achana nayo...... watemi wenyewe kila walipoichungulia list walitoka nduki na wale wenzake na yeye walioleta kimbelembele ndo akina marehemu Hon. Amina Chifupa, hapo wababe wamemkaba na akitoswa tu ukuu wa mkoa = less ulinzi = easy to...
  13. Mtemi wa Watemi

    Kwa hili la Halima Mdee kumtusi Spika, tunakoelekea ni kubaya zaidi

    afu wanamsimamia kidete mtu aliewambia wanasinzia kitu ambacho pia kina ukweli ndani yake clip kibao zinaonyesha hivo """kamati ya maadili isimamie kwanza hawa wabunge wajiheshimu afu raia na watu wengine nje ya bunge watawaheshimu
Back
Top Bottom