Aeshi Hilaly (Mb-CCM): Nilitishwa na Makonda hadi sasa naogopa kwenda Dar kwa usalama wangu

Sikuzote alikua wapi mpaka aseme Leo? Kwani DSM ndiko kwa wapiga kura wake akae huko huko kwa waoigara kura wake wasaidiane kutatua changamoto zinazowakabili. CHAPA KAZI MAKONDA
 
Lazima kuna kinachompa kiburi huyu bashite. Kwanza kwa kumkwida Warioba kipindi kile ingekuwa mimi au wewe hatua kali zingeshachukuliwa. Lakini watu husema "ngoma ikivuma sana ujue ikaribu kupasuka". Soon or later people will take matters on their hands.
Ukiona shingo inazunguka ujue kuna BEGA limeishikiria
 
Bashite ni kinyago ambacho CCM mmekichonga wenyewe leo kinawatisha na amefika hatua ya kuvamia, kuteka, kutesa na kuua yoyote aliye kinyume na maslahi yake na ya Mwenyekiti wa CCM.
kinyago kimemdhuru hadi riz1 bila kujali baba riz ndo alimpa ukuu
 
paragra
Daudi Malanja alimpigia simu Ester Bulaya akamwambia tutawashughulikia mbunge mmoja baada ya mmoja sasa ``UKIONA MBUNGE WA CCM ANALALAMIKA JUA SASA KIAMA KIMEKARIBIA SASA WATAANZA KUSHUGHULIKIWA SOON MTASIKIA MBUNGE ATOWEKA``
Daudi namfananisha na mtt ambaye akisikia siri za wazazi wake wanapoongea nyumbani anaenda kusema au kuwaringishia watt wa jirani hakika prince D.A.B ni hatari sana ktk nchi
paragraph ya mwisho umenena sahihi kabisa
 
Tunaandika majina chini. (In kikwete's voice ) ukigusa, sembe nchi itatikisika, siasani wapo, dinini wapo, serikalini wapo....... itajulikana tu maana hali ilikuwa tete mitaani.
 
Hivi haya yote yasemwayo hakuna wa kumuuliza huyu kijana na kumuajibisha au mambo mengine wakuu wa nchi wanaleta utani na maisha ya watu-Watanzania.
 
Mimi Leo nilikuwa sitaki kusema, lakini ngoja tu niseme, nimetishwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, aliniambia nyie wabunge ni wanafiki na nitawashughulikia na nitaanza na wewe, mimi leo Dar naiogopa.

Niko tayari kuhojiwa hapa nimelisema hapa kwa usalama wangu. Alinitisha mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni pale Colosseum Hotel.


Dogo alionywa sana haya mambo ya vita ya madawa ya kulevya achana nayo...... watemi wenyewe kila walipoichungulia list walitoka nduki na wale wenzake na yeye walioleta kimbelembele ndo akina marehemu Hon. Amina Chifupa, hapo wababe wamemkaba na akitoswa tu ukuu wa mkoa = less ulinzi = easy to make him rest in peace. Hata hivo maziro ya Bashite ndo yamesababisha leo hii tuna tume ya kupambana na madawa ya kulevya na inawezekana madivision one mengi ndo yanaendesha biashara hii haramu inayotesa kizazi chetu.
 
hivi rais wa nchi hii ni nani...manake badala ya kumlalamikia mkuu wa dola analalamikiwa mkuu wa mkoa...........!!!!! nchi ya mafrekeche hii
 
Kwa vile sheria haifatwi, watu wanatumia vibaya madaraka, wanaonea wengine, bila shaka karibuni huenda raia wa kawaida wakachukua sheria mikononi!
 
kama hata mtu wa Sumbawanga analia itakuwa mtu wa Dar, daaa jamaa anatisha sana, ila bro unaweza hata kumshusha kishipa cha buku
 
Bashite anadhani atakuwa juu wakati wote. Yeye na anaemlinda IPO siku ile methali isemayo alie juu mngoje chini utafika
 
Back
Top Bottom