tupo kwenye awamu ya ujenzi kwanza.....mengine yasubiri till further notice
Anakosa kitanda,Dawa na maji yakunywa ni ishu...Huu ni utawala wa "mh. Makiki". Wakati wa kampeni anajua nikuonesha matreni ya umeme,mabarbr ya flyover,mahosteli yaani ni maujenzi tuu Tena yote dar!! Wajinga hawatojali walivyokosa madawa,majisafi,elimu bora nk.
aibu sana kujali vitu kuliko utu...bora treni ya kawaida lkn tupate Dawa,maji nk.
Weeee utatekwaaaaaaaatupo kwenye awamu ya ujenzi kwanza.....mengine yasubiri till further notice
Just a theory.... i hope by then watakuwa wameshashughulikia masuala mengine ya muhimMpaka sasa sijaelewa viongozi wa nchi hii wanaishi ulimwengu upi
Una maakili sana weye..Mi nadhani watanzania tuache ushabikiaji na mikumbo, nadhani ni wazi hata tukianza leo kushughulikia mambo ya afya tu hatutafika maana magonjwa yanaibuka kila siku na ubaya wa hii ni kwamba sisi ni wanunuzi na watumiaji tu kwahiyo ni muda wote kutoa fedha je unadhani fedha haziwezi kuisha? ni wazi train hiyo ukiacha kutoa ajira, kurahisisha usafiri inaweza pia source ya income kuendelea kuboresha huduma za afya! kama ndege tu watu wanazipigia keleleee lakini mimi nadhani ni wazo zuri hata kwa kijana wa kitanzania ajifunze kujinyima muda mwingine hata vitu vya msingi likija swala la kuboresha chanzo cha mapata maana ukifanikiwa inaweza kukusahaulisha matatizo yako ya badae!!
Sijui ni nchi gani maskini duniani ambayo inatoa huduma za afya bure na kila kitu kikawepo,mijitu mingine kazi kulaumu tu,ukiambiwa fanyeni kazi na mlipe kodi hiyo mijitu ndio ya kwanza kukwepa kulipa kodi ,kazi ni kutwa JF kulaumu,haya toa ufumbuzi hakuna ,je umeifanyia nini Tanzania hakuna zaidi ya kuongelea Simba na YangaWatz kwa kuelezea matatizo tu hatujambo..tuambiwe kupendekeza suluhisho sasa...hapo ndio kazi inapoanza
Huku kijijini kwangu umeme mdogo au kutokuwa na umeme kabisa ni jambo la kawaida kabisa.Umeme Wa kuendesha hizo treni utatoka wapi
Wakati majumbani tu umeme Wa kupimiwa
Si unajua kukosoa ni rahisi...Watz kwa kuelezea matatizo tu hatujambo..tuambiwe kupendekeza suluhisho sasa...hapo ndio kazi inapoanza