Recent content by MTEMI WA KIJANI

  1. M

    Kinachofanya ajira mpya za serikali zisitolewe ni hiki

    Pesa ambazo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya kutoa ajira mpya serikali ndio ambazo zimetumiwa kununua ndege mbili aina ya Bombardier na ndege zingine zimekwisha kuagizwa. Aidha pesa zingine zimeelekezwa katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa kisasa kule Chato. Tanzania ya Viwanda inakuja!!!.
  2. M

    Nchi imemshinda ndio maana anajutia Urais

    Nahisi tunakoelekea kama tumepotea njia vile.
  3. M

    Nchi imemshinda ndio maana anajutia Urais

    Anatumia nguvu kubwa sana kupambana na mambo madogo. Badala ya kutatua matatizo yetu na yeye amekuwa anatulalamikia sijui wananchi tufanyeje. Mara kadhaa kauli zake zimekuwa nizakujutia Urais.Alifikiri Urais ni kazi ndogo? Na anavyojifanya kubana hivi yaani kila kitu anabana tu atachoka sana...
  4. M

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Tokea aingie madarakani Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli amekua anaongea tu majukwaani tu suala la ajira kwamba atatoa ajira lakini hakuna hata dalili zozote zile. Suala la Ajira katika awamu hii linazungumzwa tu kinadharia nasio kwa vitendo. Ajira ni jipu linaloisumbua serikali ya awamu ya...
  5. M

    Taarifa Rasmi Kuhusu Maandamano ya Vijana kesho tarehe 13.09.2016

    Naona suala la ajira katika serikali ya Magufuli sio kipaumbele kabsa.
  6. M

    Mwaka huu ajira hakuna, serikali inabana matumizi, katika awamu hii yatano ajira sio kipaumbele

    Hapana Kazi tu,,, Huu msemo unakera sana, unasema hapa kazi tu wakati umewanyima vijana ajira.
  7. M

    Mwaka huu ajira hakuna, serikali inabana matumizi, katika awamu hii yatano ajira sio kipaumbele

    Mpaka sasa kimya tu ni kama serikali imefuta ajira kimyakimya. Katika majukwaa wanatangaza wataongeza na kutengeneza ajira lakini katika vitendo ni zero.Namna majibu ambavyo yamekuwa yanatolewa na serikali kuhusu ajira utagundua mwenyewe katika serikali hii ajira na kuboresha maslahi ya...
  8. M

    Waziri Simbachawene ni jipu, anapaswa kutumbuliwa!

    SIMBACHAWENE HAFAIKABSA KUENDELEA KUWA WAZIRI WA TAMISEMI MAANA NI JIPU.
Back
Top Bottom