Recent content by MTEGHANYI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe ingilia kati ahadi za wachezaji wa yanga iwe fundisho kwa wengine kuropoka

    Walioahidi walijua wazi Yanga wanakwenda kufungwa ndio kisa cha kuahidi pesa nyingi. Je pesa ilishaingizwa kwenye hiyo akaunti ya yanga tusema ni shida ya uongozi wa Yanga au GS M walikurupuka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani aliyewadanganyeni kuwa ukimuhamisha ' Taahira ' toka Muhimbili Dar es Salaam ataenda ' Kuponea ' Bugando Mwanza?

    Muhimbili kawaida wanatoa dose kubwa kwa sababu hospitali na nzuri ya kimataifa ndio maana tukaomba tukatibiwe Bugando yenye dose ndogo na kweli matokeo tumeyaona
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Maadili ya Viongozi mtaakaaje kimya kwa Kitendo cha aibu cha Naibu Spika Tulia Ackson?

    Shida ni Msalaba kufanyia igizo
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    Hadi umauti unamkuta alikuwa DW Idhaa ya kiswahili Ujerumani. Mzee wa kimanzichana ni al marhuum siku nyingi mara ya mwisho alikuwa Radio Abood ya Morogoro
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji family car kwa bajeti ya tsh 14 milioni

    Kwa TSH,10ml tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ofa anayetaka shillingi 10000 anione PM

    Kutoa ni imani ya mtu, Moyo ni kitu kingine kabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

    Yule kijana wake wa kiume wa pekee.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makonda angekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza angeokoa miili mpaka asubuhi Alafu CHADEMA wangesema ni kiki

    shida ilikuwa giza ndio sababu iliyotolewa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mchungaji wa KKKT Usharika wa Sinza afariki Dunia kwa ajali

    R.I.P Rev.Tuheri Tuheri
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Dhambi moja tu ya kukashifu roho mtakatifu ndio haisameheki, lkn dhambi zote ukijutia na kuomba msamaha kwa dhati Mungu anakusamehe. Tubu na uombe msamaha na usirudie tena
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata chanjo ya yellow fever kwa Dar?

    Nenda mnazi mmoja hospital
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya huduma za kijamii jimboni Bumbuli ni mbaya kuliko kawaida

    ....... nimetoka huko Bumbuli januari 2018 sikuamini barabara iliyokuwa haipikiti kipindi cha mvua Soni - Bumbuli mimi nilipita mvua kubwa ikinyesha lakini niliendesha kwa dk.45 tu Soni - bumbuli, eneo lile baya sana la mamba kwenye kona na pale pasua ambapo palikuwa ni pabaya sana sehemu zote...
Back
Top Bottom