Tafuta hii dawa, pakaa na pamba mara tatu kwa siku, acha kula vyakula vitakavyo leta choo kigumu, kula vyakula vyenye fibre nyingi pamoja na mapapai. Ukiona tatizo linazidi, nenda kwa Dr
double glazing, inasaidia sana wakati wa baridi kali, ubaridi wa nje auingii ndani kama ulifunga madirisha. Kwa mikoa kama Dar, kwa kweli huitaji kuweka double glazing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana nilisikia Mwampaja anaumwa sana, sijui hali yake sasa. Unanikumbusha mbali sana, hivi mwalimu mpalaza yupo?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya Jumla kiwandani ni Tsh7900. Kununua kiwandani lazima use distributor wa eneo Fulani. Na ukitaka kufanya biashara hiyo mtaji ni Tsh200M minimum. Ambao utanunua Magari mawili canters, na chupa tupu kama 3000 cases RGB, pamoja na vinywaji vya plastic PET. Kazi ni kwako. Kama utashindwa...
Maelezo yaliyotolewa kwenye baadhi ya alama hayatoi ufafanuzi mzuri, hasa kwa madereva wanafunzi. Mfano alama ya R3, Maelezo yake yanatakiwa kuwa, Alama ya amri ya kukataza, Barabara imefungwa kwa magari yanayo ingia, huenda ikawa wazi kwa Magari yanayo toka.
Sent from my TECNO-C5 using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.