Recent content by Mtatya's boy

  1. M

    Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Hapo ndo mnapo haribu issue kama hiyo unaanza kutuletea hadith za ccm baadq ya kuleta habari iliyojitosheleza hapo ss tuelewe nn unatoa taharifa au unatoa lawama?
  2. M

    Maandamano ya CUF: Hali si shwari wizara ya mambo ya ndani makao makuu

    Tatizo wtz tumekalia kulalaamika bila sababu kwa ufupi jeshi la police halifanyi kazi peke yake kuna muunganano vyombo karbia vyote vya usalma katika kulilinda taifa ss kuna ubaya gani kama wana inteligensia wametoa angalizo kwa wananchi kutofanya mikusanyiko hata km ni halali lakn lazima tuweke...
  3. M

    Hivi trafki wanalipwa mishahara tofauti na polisi wengine

    huo umbea wafate wao waulize watakujibu.
  4. M

    Fursa kwenye uzalishaji wa Madirisha ya Plastic (PVC Window)

    kaka niko interested na hiyo kitu email yangu ni aziziyusuph@gmail.com
  5. M

    Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

    Wengi naona mna maswali juu hili jambo ni kwamba huyu askari alikuwa police kata ambao wanafanya kazi vijijini kwa kushirikiana na watendaji wa vijiji ss mwenye kiti wa kijiji baada kushuudia tukio baya na unyama lililokuwa likifanywa na baba dhidi ya mwanae ndipo kiongozi huyo wa kijiji...
  6. M

    Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

    Mi naomba mungu ampeleke muuaji huyo akafyeke familia ya mmojawapo nyie mnaopongeza madhambi haya halafu tuone huyo lipumba unayempigia promo atakusaidia nn maana watu wamelewa siasa hata kwenye mambo ya kitaifa. Hao wanasiasa wanasaidia nn kazi kulinyonya taifa tu. Lkn hipo siku umuhimu wao...
  7. M

    Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

    Masikini huyo kijana hanaga makuu na mtu ni kijana mwenzetu hakika umekufa ukitetea uhai wa mtanzania mwenzako tunakuweka kwenye kumbukumbu za mashujaa. Acha watuchukie hila tuliapa kuwalinda hata kwa kwakumwaga damu zetu ee mungu tupe ujasiri na upendo katika kulilinda taifa letu.
  8. M

    Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

    Waueni tu hila kama nao wengikuwa wauaji km mnavyodai sidhani km mmengukuwa mnaandika utumbo huo kwa amani labda niulize kuna askar aliuwa raia akabaki salama na kazi yake si wote wapo jela? ss mnaposhabikia binadamu mwenzio kuuliwa we unajiona uko salama kbs? Hapo ni sawa na nyani kucheka...
  9. M

    Majambazi yavamia kituo na kuua polisi wawili Ikwiriri Rufiji

    kile ni kituo kidogo ambacho kinakuwa na askari wawili au watatu sasa jambazi anapokuja kuvamia uja km mlalamikaji askari anapoanza kumsikiliza ndo wanapo toa silaha na kuanza kuwashuti na km mjuavyo polisi ni ofc ya umma yeyote anaweza kwenda bila kizuizi mi nadhani polisi sasa kuna haja ya...
  10. M

    Uke mkubwa kwa under 20yrs unasababishwa na mini?

    kwa mwanamke uke utanuka na kulegea utokana na kukutana na wanaume wenye maumbile tofauti na kuendekeza ngono katika umri mdogo coz via vinakuwa havijakomaa vile vile kutofanya mazoezi ya viungo hii nayo usababisha viungo kulegea sio uke tu bali hata mwili mzima ulegea minyama utepeta km unataka...
  11. M

    Matumizi bora ya umeme nyumbani /save electricity kupunguza bill yako

    umesomeka mkuu nashukuru kwa maelekezo mazuri na uchambuzi wa kina mkuu god bless you
  12. M

    Matumizi bora ya umeme nyumbani /save electricity kupunguza bill yako

    Da mkuu ubahatishi kbs ya umechambua mambo kitaalamu sana aisee nakushukuru sana, jambo lingine mkuu nnalotaka kuuliza ni kwamba kuna jamaa alinambia kwamba sio kila stabilizer ina uwezo wa kukuza umeme kwamba zipo stabilizer maalumu kwa kazi hiyo ni kweli au yoyote inafaa ilimradi iendana na...
  13. M

    Matumizi bora ya umeme nyumbani /save electricity kupunguza bill yako

    Ashy da don wkt unasubiri majibu ya engineer jarbu kumuita fundi akuangalizie earth system maan mahali hapa pakiwa na tatizo umeme mwingi upotelea hapo na kuna chuma uwa kinazikwa ardhi nacho kama kimelika sana ni tatizo pia units zinapotelea pale. subir na majibu ya mtaalam maana mi nimejibu...
  14. M

    Matumizi bora ya umeme nyumbani /save electricity kupunguza bill yako

    Mkuu nashukuru kwa ufanunuzi wa kina yote uliyosema ni kweli mtupu lakini nnachoweza kukifanya kwa haraka ni kununua voltage stablilizer so naomba unielekeze ni aina gani inaweza kunisaidia km unavyojua fakes zimezagaa mjini hapa naomba unielekeze na wapi naweza kupata biidha original na iwe...
  15. M

    Matumizi bora ya umeme nyumbani /save electricity kupunguza bill yako

    mkuu ni umeme wa tanesco wkt wa jion vifaa km pasi tv vinawaka lkn kwa shida sana wkt mwingine tv inazimika mpk sa nne hv ndo inawaka vizur fridge inafanya kazi watu wakilala sa tano usiku na mchana inawaka na ukipungu inawaka taa tu niko maeneo ya gongo la mboto mkuu. hila tatizo naic...
Back
Top Bottom