Hivi trafki wanalipwa mishahara tofauti na polisi wengine

Hivi trafki wanalipwa mishahara tofauti na polisi wengine

K.hewa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
165
Reaction score
33
mbona matrafki wengi wana majumba mazuri pia magari yakutembelea ilihali polisi wenzao wanakaa kotaz wamechoka vibayaa.. Mwenye jibu naomba anipe
 
Mishahara hienda ikakaribiana ila trafik ana tip nyingi na kesi za trafiki ni za kipesa zaid tofauti na polisi akimkamata mhalifu au hata walogombana watu wakija kumtolea zamana kwisha habari mambo yanamalizwa bila ye kujua lakin trafik unacheza nae ye mwanzo mwisho upimaji wa ajali kukuandikia huna kosa kukuthibitishia ulipwe na bima unamkatia yeye kama yeye anakuandikia riport hawa wenzangu na mimi wakikufikisha kituon dili ndo linaishia hapo utadili na aliekuepo kituoni tu
 
Back
Top Bottom