Mkuu huja fahamu kabisa nini nimekwambia. Mimi data za suicide Japan ninazo ni juu yako kuzitafuta hazina shida unaweza kugoogle. Kenya walituzidi kwa kete kutokana na kuvunjika kwa East Afrika kwa hiyo viwanda vingi na miundo mbinu ilijengwa huko lakini hakuna walichotuzidi ukilinganisha nchi...
Nilishangaa sana niliposkia vitabu vya shaaban Robert vimefutwa Kusadikika na vyengine vimefutwa. Nikajiuliza kulikon? Nikawahi kuuliza ndugu wanafunzi jee Song of Lawino and Ocol- wakanijib hawakijui hicho kitabu. Nikamuuliza ndugu yangu ambae siishi nae pamoja ambae alikuwa form IV, hebu...
Kijana unaonekana unachanganya mambo, KUCHINJA ni zaidi ya ibada kama tunavyojidanganya. Katika dini ya kiislamu imeamrisha hivyo na dini nyengine. Inaonekana huko Mwanza hakuna machinjio? na kama yapo sheria haifuatwi kama zamani au PUBLIC HEALTH law zinavyotaka. Nampa hongera Wasira kwa...
Hebu msivichukue kwani mmelazimishwa? Japokuwa rais kasema id si hiyari ni lazima lakini kwa vile sisi ni maneno mingi na janja nyingi tusivichukue tumkomoe jk au vipi? Tusubiri vya majimbo bwana mkubwa akipata urais kama sera yetu ya chama inavyosema (jimbo kwanza uhai baadae), mmeskia!
Kijana wewe ni kichwa maji kabisa tena kichwa cheupe sijui unaishi dunia gani? Hebu kama kitu hukijui uliza uambiwe. Haya ndo matatizo yetu watanzania, Wakenya wanatuambia tatizo la Watanzania ni maneno mingi! Maneno mingi inarudisha nyuma maendeleo! Ndo huyu hapa, hana lolote anataka kumwaga...
We kijana huoni mbele na wala huna mtazamo, maendeleo ni mchakato ambao ni endelevu na katu hauna siku utasema sasa hivi tumepata maendeleo. Ni mchakato ambao upo, utaendelea kuwepo umeukuta na utauacha mpaka unaenda kaburini. Niambie nchi gani unayoijua wewe imeendelea na sasa hv watu wake...
kweli chadema wengi watoto wa shule na kufikiri kwao ni kwa muda mfupi, leo watasema hili na kesho lile. Hivi mpaka hizi habari zinakufikia pia huamini. Mwambieni akalishtaki gazeti, mtafuteni tundu lissu akafungue mashtaka au hamumuamini au anaona kizungumkuti? Mtu mwenye akili timamu hawezi...
Acha kuropoka mkuu, wewe una fani gani hapo ulipo mpaka humuelewi, hawafanani wanaojua na wasiojua, huyu ni profesa inahitaji watu walio makini kumuelewa na wenye nia ya kweli kumfahamu. Kwa nini nyie munapenda kushobokea wana harakati koko? Hawa wanatafuta ugali tu tanzania hawana kazi ya...
Wewe edward lowasa ana nini mbona mumemshilkilia sana na hana mpango wowote! Unajua kwa nini tanzania mpaka leo suala la upatikanaji dawa unakuwa mgumu mahospitalini?
Sababu ni huyu edward lowasa ambae ameingia mkataba feki na taasisi ya msd ya kusambaza dawa hospitali zote za tanzania. Mkataba...
we acha uzushi huo! Naona mumekazana sana kuizungumzia arusha yaani kuonyesha kama ndani ya tanzania kuna nchi nyengine inaitwa arusha. Ubinafsi na chuki tu ili muigawe nchi, lakini watoto wadogo tu kifikra, mumeikuta arusha na mutaicha kama ilivyo na katu hamtotugawa kimajimbo. Hamtofanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.