Recent content by Mtanzanyika

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

    Kiongozi nimekutafuta PM, ila umefunga PM yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi nzuri kati ya Bachelor of Law Enforcement na Bachelor of Laws

    LLB kibao wapo mtaani wanapambana lakini BALE wengi wapo kwenye ajira... kwanza ni course inayochukua watu wachache na opportunities ni nyingi zaidi kwenye banking industry na sehemu zingine..!! Kwa mimi namshauri asome BALE hatokaa mtaani, speaking from experience
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi nzuri kati ya Bachelor of Law Enforcement na Bachelor of Laws

    BALE ina chance kubwa ya kupata ajira bank kwenye kitengo cha Fraud and Investigations au Police.... ila naaona wengi wanapata kazi bank..!! Nakushauri soma BALE
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

    Hahahaha wadada si mnasemaga bora wazee... anakupa ela na hakuchoshi. Siyo kama sisi vijana wenzenu
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

    Mimi ni mwanaume
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

    Habari ya jioni wakuu, Maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana visa vingi sana. Inawezekana umewahi au upo kwenye mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, ebu tupate experience mbali mbali ilikuaje kuaje mpaka mkaingia kwenye mahusiano. Kwa upande wangu alikuwa ni Mkuu wangu idara, alinipita miaka 20...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kukacha kidato cha 5 & 6 na kujiunga Vyuo vya Diploma, tatizo ni nini?

    Ukiwa na Advanced Diploma hauendi Masters.... unaenda Post Graduate Diploma mwaka mmoja then ndo una-qualify Masters..!! Na by the way kwa Tanzania sasa hivi hakuna chuo kinachotoa Advanced Diploma
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni-bless na mimi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    1. Niko Busy 2. Unapenda Nini 3. Demu Wangu 4. Toa hela 5. My boo Nakupa na bonus 6. Sio Kweli
  10. M

    JamiiForums Tanzania Romantile vs Versatile: Design ipi ungependelea kuweka?

    Hii ni nzuri zaidi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anayepafahamu eneo linaitwa Mkokozi

    Ndiyo bei sijui....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anayepafahamu eneo linaitwa Mkokozi

    Asante sana Kaka.... kuna umbali gani kutoka daraja la Kigamboni na kutoka feri.? Na vipi bei za viwanja zimekaaje.? Eatu wamejanga kisasa au hakujapangika.?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Anayepafahamu eneo linaitwa Mkokozi

    Habari wana JF, Mimi kazi niko Mwanza ila ni mzaliwa wa DSM na wazazi wangu wanaishi DSM. Leo katika story na wenzangu tumesikia kuna viwanja vinapatikana eneo linaitwa Mkokozi lipo karibu na Kigamboni. Kwa anayepafahamu naomba maelezo kuhusu ufikaji wake, mazingira yake, hali ya bara bara na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za Ujenzi kwa ramani hii

    Nimeikuta sehemu hii floor plan na nimeipenda... Mwenye nayo ameniambia mjengo ni contemporary house. Wataalamu naombeni makadirio ya ujenzi kama nikiitumia hii ramani na inatosha kwenye Kiwanja cha ukubwa gani Sent from my IN2023 using JamiiForums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Benki kuna mikopo ya build to rent?

    Benki hakuna mikopo kwa ajili ya kujenga commercial building ila kuna mikopo kwa ajili ya kujenga residential building Sent from my IN2023 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom