Recent content by MtanzaniaJeuriSr.

  1. MtanzaniaJeuriSr.

    Vodacom waonesha ukinara wao, waleta 5G nchini

    Mm nahisi itakuwa kwa CBD tuu for now
  2. MtanzaniaJeuriSr.

    Vodacom waonesha ukinara wao, waleta 5G nchini

    Sio kweli, hiyo kitu bado iko Under research hakuna matumizi yake mpaka sasa
  3. MtanzaniaJeuriSr.

    Vodacom waonesha ukinara wao, waleta 5G nchini

    Wanasema inqpatikana Dar Es Salaam ila mimi mpaka sasa sioni kitu
  4. MtanzaniaJeuriSr.

    Msaada kuinstall custom ROM

    Hopefully hii tutorial itakusaidia 👇👇👇 Click here
  5. MtanzaniaJeuriSr.

    Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

    Dah ndoto yangu hii ingawa mke wangu hazipendi
  6. MtanzaniaJeuriSr.

    Kuna rafiki yetu mmoja mke wake kajinyonga

    Kweli we ni Sungusungu, we nenda doria ya upelelezi yaache tuu😂😂😂😂😂
  7. MtanzaniaJeuriSr.

    Msaada kuinstall custom ROM

    Specify zaidi yaani ina OS ver ngapi au bootloader ver
  8. MtanzaniaJeuriSr.

    Je, nini kilitokea Beach Kidimbwi? Kuna watu walikufa?

    Inaonyesha mtoa mada kakurupuka na hakuwepo eneo la tukio, shame!
  9. MtanzaniaJeuriSr.

    Mpaka leo sijajua ni nini kilimtokea mpaka kutoweka ghafla

    Mwenye duka la suti katapeliwa kama nyie tuu. Dar nyoso
  10. MtanzaniaJeuriSr.

    Magari ya gesi CNG

    Vituo vya kujazia gesi viko wapi?
  11. MtanzaniaJeuriSr.

    Wahusika wa barabara za daraja la Kigamboni naomba msome uzi huu

    Nikajua unaonewa kumbe ushawekewa limit ila wewe ndo unataka kuamua limit yako
  12. MtanzaniaJeuriSr.

    Msaada kuinstall custom ROM

    Kama umeshaweka twrp na root maana yake bootloader tayari iko unlocked jambo la kuzingatia sasa ni kwamba rom utakayoflash iendane na simu yako pia ufanye backup kabla hujaflash simu na pia uwe na stock rom pembeni incase things go wrong.... pia hakikisha unatumia sd card maana internal storage...
  13. MtanzaniaJeuriSr.

    Msaada kuinstall custom ROM

    Basi unaweza flash, ila hakikisha ni inaendana na hardware ya simu yako maana makampuni yanaweza toa model moja ya simu yenye hardware mbalimbali mfano mzuri ni samsung wana exynos na Qualcomm. Leta model ya simu yako tuone tunakushaurije
  14. MtanzaniaJeuriSr.

    Msaada kuinstall custom ROM

    Mpaka hapo ulipofika mkuu maana yake umeshafanikiwa kwa 50% kuweka rom sasa ni kujua je hiyo simu inapata support toka lineage os? Kama inapata basi unaweza weka hiyo os ila fanya clean install isije bootloop
Back
Top Bottom