Wahusika wa barabara za daraja la Kigamboni naomba msome uzi huu

AMMARITO

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
867
1,000
Sisi watumiaji wa hizi barabara za kuungia na kutoka daraja la kigamboni zimekuwa kero na za gharama kubwa kwa watumiaji wake hasahasa wageni wa njia hizi, askari wa usalama barabarani wamekua ndio sehemu zao za kutega camera ikizingatiwa kiwango cha speed zilizowekwa ni za chini sana, 30km/Hr.

Kwa asiejua mitego ya barabara hizi lazima anaswe, hebu fikiria unatoka zako 60km/Hr halafu ghafla inashuka mpaka 30, trafic wanajificha katika kona wanakulamba.

Mwanzoni wazo lilikua na nia njema, kwa sababu watu wengi walikua hawazijui njia na kuzuia ajali wakaweka speed hiyo, sasa hivi watu washakua wazoefu wa njia hizi.

Tuwaombe wahusika waondoe vibao vya 30 na waviache 60 sehemu zote ili tuondokane na kuvunja sheria kusikokua kwa lazima.

Tupunguzieni gharama za maisha ndugu zanguni (petrol,Luku, bill za maji, kodi ya nyumba, kifurushi, hospital, gari la taka, mchepuko.........)
 
Mwana Taaluma

Senior Member
Oct 21, 2019
159
250
Kila zuri lina gharama yake. Sema wakukanywa ni hao nyangenyange, wasiligeuze jeshi la polisi/Traffic division kuwa tax department.
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,212
2,000
Sisi watumiaji wa hizi barabara za kuungia na kutoka daraja la kigamboni zimekuwa kero na za gharama kubwa kwa watumiaji wake hasahasa wageni wa njia hizi, askari wa usalama barabarani wamekua ndio sehemu zao za kutega camera ikizingatiwa kiwango cha speed zilizowekwa ni za chini sana, 30km/Hr.

Kwa asiejua mitego ya barabara hizi lazima anaswe, hebu fikiria unatoka zako 60km/Hr halafu ghafla inashuka mpaka 30, trafic wanajificha katika kona wanakulamba.

Mwanzoni wazo lilikua na nia njema, kwa sababu watu wengi walikua hawazijui njia na kuzuia ajali wakaweka speed hiyo, sasa hivi watu washakua wazoefu wa njia hizi.

Tuwaombe wahusika waondoe vibao vya 30 na waviache 60 sehemu zote ili tuondokane na kuvunja sheria kusikokua kwa lazima.

Tupunguzieni gharama za maisha ndugu zanguni (petrol,Luku, bill za maji, kodi ya nyumba, kifurushi, hospital, gari la taka, mchepuko.........)
MAMA anataka Bilioni 2 kwa mwezi, kwanza polisi wataweka kibao cha 20km ph
 
Mwana Taaluma

Senior Member
Oct 21, 2019
159
250
MAMA anataka Bilioni 2 kwa mwezi, kwanza polisi wataweka kibao cha 20km ph
Hilo jambo ni jema sema sasa wapangasera wataweza kweli kutuludishia katika njia ya huduma?.

Mama bado anapaswa kushauriwa vema. Kama possible possible. We need to lift up
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom