Kuna rafiki yetu mmoja mke wake kajinyonga

Kuna rafiki yetu mmoja mke wake kajinyonga

Kuna masuala mengi ya kujibu
1 Alikuwa wapi mpaka mwenziwe ajinyonge?
2 Hakusikia kishindo chochote?
3 Kwanini amfunguwe kamba badala ya kuita polisi nao ndio wakafungua kamba?
4 Mwilini mwake ana mikwaruzo yoyote ile?
5 Kuna ujumbe wowote wa marehemu wa kujinyonga.

Simu ya marehemu inahitajika kuangaliwa kwa umakini kama kuna ujumbe wa usaliti kwa mwenza wake mpaka kupelekea mauti kumfika.
Jeshi la polisi lifanye kazi yake kwa haki pande zote isitumuke hisia bali ushahidi kamili wa kujiridhisha.

Lunatic
Sasa kishindo cha nini mkuu?
Kwani kajitupa dalini?

Kama kweli kajinyonga achilia mbali kama kosa na dhambi kwa Mola wake..
Achilia mbali mzigo aliyomwachia mwezake,

Anampa Mwenza wake wakati mgumu kwa Jamhuri, jamii, ndugu na marafiki,
Huyu atabaki kunyooshewa vidole,
Ya kua ameua au kasababisha mwenzake ajiue..

Unajinyongaje ndani, Si kutafutiana lawama huko, Si angeenda mbali kabisa..

Kamuacha na huzuni, Haitoshi inakuja mashaka ya kuhukumiwa, Bado anasubiriwa na Lawama za jamii...
Katika Mazingira kama haya Sijui huyo marehemu atamkumbuka kwa huzuni au masononeko..

Marehemu wengine wanazingua sana, R.I.H.

......Kama ni kweli.
 
Mkuu usihofu kwani anaisaidia polisi tu.Akimaliza ataachiwa.
 
Ndoa ina mambo mengi

Ndomana mnaambiwa kila siku ukiona kwenye mahusiano kuna mushkeli bora muachane kila mtu afanye yake

Maisha yaendele

Ova
 
Habarini!

Kuna rafiki yetu mmoja mke wake kajinyonga wakiwa pamoja ndani na mpaka sasa mwanaume kakamatwa na yuko polisi.

Je, ni sahihi kijana huyo kushikiliwa na je sheria inasemaje mtu akifa ndani ya nyumba na mkiwa pamoja kwani kwa maelezo ya uyo jamaa anadai yeye aliwahi kulala na mwanamke alibaki sebuleni ambako akakuta kajinyonga na anadai aliwahi kumtoa kamba shingoni na kumfungua kisha baadae ndo akaanza kutoa taarifa kwa majirani.
Kweli we ni Sungusungu, we nenda doria ya upelelezi yaache tuu😂😂😂😂😂
 
Kama hana watu wa maana wa kumsimamia basi atasota lupango kipindi kirefu sana.
Habarini!

Kuna rafiki yetu mmoja mke wake kajinyonga wakiwa pamoja ndani na mpaka sasa mwanaume kakamatwa na yuko polisi.

Je, ni sahihi kijana huyo kushikiliwa na je sheria inasemaje mtu akifa ndani ya nyumba na mkiwa pamoja kwani kwa maelezo ya uyo jamaa anadai yeye aliwahi kulala na mwanamke alibaki sebuleni ambako akakuta kajinyonga na anadai aliwahi kumtoa kamba shingoni na kumfungua kisha baadae ndo akaanza kutoa taarifa kwa majirani.
 
Alipaswa amuache hapohapo ananing'inia hadi polisi waje wamtoe
Ndio angeaminika? Kama ambavyo uchunguzi unafanyika kwa kumshikilia sasa ndivyo ambavyo ingetokea hata kama angeuacha mwili.
 
Back
Top Bottom