Recent content by mtanzania1989

  1. M

    Mfungieni na Kaduguda aliyesema Mangungu hajawahi kuongoza hata Kata vinginevyo mtaonekana waoga

    Wamefungiwa sababu ya kuitisha mkutano wa wanachama huku wakiwa hawana mamlaka hayo.
  2. M

    Juma Kaseja anatafuta kiki kwa Djigui Diara

    Kaseja akiwa katika ubora wake 2008/2009 ashawahi chezeshwa no 8 kwa dakika kadhaa, Simba ikiwa ya moto na uhakika wa ushindi. Kaseja alikuwa mzuri ila alikuwa katika era isiyo na mafanikio makubwa kimataifa.
  3. M

    Kumng'oa Mangungu Simba ni vigumu kama kuing'oa CCM madarakani

    Mangungu hahusiki kwenye daily operation za Simba, ni kiongozi asiye na nguvu kutokana na katiba mpya ya Simba. Try again na CEO wake na MO ndio wenye mamlaka na maamuzi, inahitajika kuwe na uwazi kuelewa tatizo la usajili la Simba, je ni pesa ndogo au ni uzembe wa scouting team ? Simba ina...
  4. M

    Ripoti WHO: Maambukizi ya Magonjwa ya Zinaa hasa Kaswende kwa Watu wenye Miaka 15-49 yameongezeka kwa zaidi ya Visa Milioni 1

    Kwa jinsi Azromthyn ilivyo dawa pendwa mtaani, hilo ongezeko la maambukizi ya 1m kwa Africa nzima sio sahihi
  5. M

    Dola imepanda hadi nimeshangaa hali ni ngumu

    BOT wanasababisha uwepo wa black market sababu wanagoma kubadilisha thamani halısı ya pesa yetu dhidi ya USD. Proper intervention ni kuingiza $ za kutosha mtaani na sio kuweka fixed value halafu mwisho wa siku $ hazipatikani.
  6. M

    Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Ubaki hivyo hivyo Samia, tuliambiwa na chawa wa CDM Arusha wanampenda sana Samia.
  7. M

    Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Ndio maana Msigwa amekuwa chawa sana siku hizi, ameshapitisha mrija wake na yeye.
  8. M

    Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Serikali na chawa wa Msoga ndio wanazidi kumfanya JPM azidi kuwa hai, vijembe na chuki dhidi ya JPM ndio vitazidi kumuweka hai na legacy yake kuongelewa.
  9. M

    Kwanini kila mechi ya robo, Simba inaanzia nyumbani?

    Simba alianzia ugenini dhidi ya Kaizer chiefs na kumalizia kwa Mkapa.
  10. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Najua ni kitu kikubwa ila hii ni biashara sio charity, walipewa mikataba ya explorations tu, hiyo sio sababu ya wao kutulalia kwenye mikataba ya LNG, kuna faida gani Tz kuruhusu mkataba wa 30bn USD halafu usiwe na faida ya kutosha kwa uchumi wetu.
  11. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Seems Makamba alishafanya yake, sababu wanalazimisha mikataba iliomalizwa na Makamba isainiwe hata kama ni mibovu au haina maslah kwa Tz, kama mkataba ni mbovu hakuna kusaini, hakuna kuingia production phase wala kujenga LNG processing plant, siku akija mwingine with a better deal tutaendelea.
  12. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    USA na NATO wako katika pressure ya kutafuta mbadala wa gas ya Russia, Tz na Mozambique ndio potential virgin resource ya gas inayoweza kuwa mbadala wa Russia huku wakiwa salama kisiasa. Kama mkataba ni mbaya as Biteko alichonukuliwa, GoT iendelee kukaza, wao ndio wanahitaji mbadala wa Russia...
  13. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Kwani ni lazima tuingie mkataba na wao ili kujenga LNG, mkataba wa Tz na hizo kampuni ni exploration tu, LNG ni inshu tofauti na serikali haina ulazima wa kufanya kwa speed yao kama mikataba wanayotaka haina maslah kwetu.
  14. M

    Supporting props ni nini?

    Ushapigwa quotation nzito, props ni mirunda, wakiandika kwa Kiswahili tutawabishia inabidi watupige mkwara kwa ngeli ili usibishie kila kitu.
  15. M

    Simba wasema hawana cha kujifunza Yanga, waandishi wajiumauma

    Basi aongoze angalau afikie rekodi ya Simba ndio aanze kuropoka.
Back
Top Bottom