themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Mechi za misimu 3 mfululizo kila Robo fainali Simba lazima ianzie nyumbani hii imekaaje.
kwa hilo swali unalouliza...badili jina mkuuMechi za misimu 3 mfululizo kila Robo fainali Simba lazima ianzie nyumbani hii imekaaje.
Ukiona hivyo ujue kwenye makundi aliishia nafasi ya pili kama mwaka huuMechi za misimu 3 mfululizo kila Robo fainali Simba lazima ianzie nyumbani hii imekaaje.
Na hili ndo jibu sahihi. Timu zote zilizoshika nafasi ya 2 zinaanzia nyumbani na kumalizia ugenini. Si afya kwaoUkiona hivyo ujue kwenye makundi aliishia nafasi ya pili kama mwaka huu
Vipi alipoongoza kundi kipindi Cha Al ahly alianzia ugenini? Robo fainalUnapomaliza nafasi ya kwanza unapewa advantage ya kuanzia ugenini na kumalizia mechi ya mwisho nyumbani.
Ukiwa wa pili ,unaanzia nyumbani na kumalizia ugenini.
So inabidi upambane uwe wa kwanza maana kumalizia nyumbani kuna raha yake .....si unajua Africa na Mpira wetu ....
msamehe bure tu wengine mpira wameukurupukia bila kujua sheria wala kanuniNatamani nitoe majibu ila najua thread itaharibika kwa matusi.
Kwavile hawakupenda ndumba mpaka walivyosajiri wachezaji wa maanaKwanini Yanga misimu mitatu iliyopita hakufika makundi klabu bingwa.
Naunga mkono hojaUnapomaliza nafasi ya kwanza unapewa advantage ya kuanzia ugenini na kumalizia mechi ya mwisho nyumbani.
Ukiwa wa pili ,unaanzia nyumbani na kumalizia ugenini.
So inabidi upambane uwe wa kwanza maana kumalizia nyumbani kuna raha yake .....si unajua Africa na Mpira wetu ....
SawaUkishika nafasi ya kwanza kwenye makundi michezo ya Robo fainali unaanzia Ugenini na kumalizia nyumbani.
Rejea mchezo wa Simba na Kaizer chifu.
Hata mimi pia nilitaka kuuliza swali kama hili.Vipi alipoongoza kundi kipindi Cha Al ahly alianzia ugenini? Robo fainal
Simba alianzia ugenini dhidi ya Kaizer chiefs na kumalizia kwa Mkapa.Hata mimi pia nilitaka kuuliza swali kama hili.
Nafikiri kuna upendeleo kwa baadhi ya timu.
Maana kipindi kile Simba aliongoza kundi na bado akaanzia hapa nyumbani na kumalizia ugenini mechi ambayo iliamuriwa kwa mikwaju ya penalties
Siyo kweli mkuu rudisha kumbukumbu zako vzrSimba alianzia ugenini dhidi ya Kaizer chiefs na kumalizia kwa Mkapa.
Wewe ndio urudishe kumbukumbu. Alianzia south akapigwa 4-0 , Kwa mkapa akashinda 3-0 ,safari ikaishia hapo.U
Siyo kweli mkuu rudisha kumbukumbu zako vzr