Simba wasema hawana cha kujifunza Yanga, waandishi wajiumauma

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
2,016
1,220
Nasikiliza hapa wapi yaani ni kujitafuta tu kila mahali. Sasa Yanga sa ameingia fainali last year CAF CONFEDERATION CUP je simba kafika? Yanga kaingia robo kwa kishindo kikubwa je Simba alishafanya hivyo au kipapatupapatu.

Ongezea najua mnakuja kasi na mawe
 
Duh, inavyonekana Ahmed Ally Kapiga jiwe Kwenye mzinga Wa Nyuki....!

Wana Yanga Wamefura kwa Hasira.

Minyuzi ya Kumlaani inafunguliwa kama njugu.

Eti Simba hana cha Kujifunza kwa Yanga.

Akaongeza mafanikio ya Yanga anayetakiwa kushukuriwa ni Mo Dewji.

Jamani amkeni amkeni, nyuzi kama zote jukwaa la jamiisports juu ya Ahmed Ally.
 
Hizi kelele zitazimwa endapo yanga ataingia nusu fainali hii ndio dawa ya kunyamazisha watu
 
Hiyo ndio fact na ukweli hivi Simba sc iliyocheza final ya shirikisho mwaka 1993 na yanga iliyobahatika ikacheza mwaka 2023,nani wa kujifunza kwa mwenzake?Simba sc imeingia robo final club bingwa mara 5 na imecheza nusu final mara 1974,na imecheza hatua ya makundi tokea nchi ipate uhuru,yanga hatua ya makundi imechukua miaka 28 na robo final club bingwa ndio kaingia juzi kwa mara ya kwanza mpaka wakazimia...Sasa nani anajifunza kwa mwezake hapo?

Simba sc inawania kucheza kombe la Dunia na ni timu ya 7 kwa ubora barani Afrika ..yanga ni timu ya 27,sasa nani ajifunze kwa mwenzake hapo?ni wazi yanga ndio anajifunza kwa Simba sc
 
Wanamsimbazi/Kolopwinho/Mbumbumbu/ Wamatopeni/Kolouzidad Wamechanganyikiwa Kuanzia Wachezaji Hadi Mashabiki Wake.
 
Ahmed Ali amefikisha kisu kwenye mfupa, Simba ilisha ongoza kundi lenye Al Ahly ndani yake, Yanga imeishia kuwa ya pili na bado wana Yanga wamechanganyikiwe, wangekuwa wa kwanza kama Simba si wangetembea uchi.
 
Kuchanganyikiwa huku wanazimia na kulazwa hospital.
 
Hiyo ndio fact na ukweli hivi Simba sc iliyocheza final ya shirikisho mwaka 1993 na yanga iliyobahatika ikacheza mwaka 2023,nani wa kujifunza kwa mwenzake?Simba sc imeingia robo final club bingwa mara 5 na imecheza nusu final mara 1974,na imecheza hatua ya makundi tokea nchi ipate uhuru,yanga hatua ya makundi imechukua miaka 28 na robo final club bingwa ndio kaingia juzi kwa mara ya kwanza mpaka wakazimia...Sasa nani anajifunza kwa mwezake hapo?

Simba sc inawania kucheza kombe la Dunia na ni timu ya 7 kwa ubora barani Afrika ..yanga ni timu ya 27,sasa nani ajifunze kwa mwenzake hapo?ni wazi yanga ndio anajifunza kwa Simba sc
Aisee.... unajua usemacho?
 
Ahmed Ali amefikisha kisu kwenye mfupa, Simba ilisha ongoza kundi lenye Al Ahly ndani yake, Yanga imeishia kuwa ya pili na bado wana Yanga wamechanganyikiwe, wangekuwa wa kwanza kama Simba si wangetembea uchi.
Mkuu, hata Yanga ana nafasi ya kuongoza kundi alilopo, ambalo na Ahly yupo!
 
Nasikiliza hapa wapi yaani ni kujitafuta tu kila mahali. Sasa Yanga sa ameingia fainali last year CAF CONFEDERATION CUP je simba kafika? Yanga kaingia robo kwa kishindo kikubwa je Simba alishafanya hivyo au kipapatupapatu.

Ongezea najua mnakuja kasi na mawe
Kwahiyo simba ilicheza robo fainali mara 4 kwa kubahatisha. Duuu mnakuwa mmekunywa nini?

Simba iliongiza kundi na alama 13 juu ya Al Ahly iliyokuwa ya moto! Kwahiyo alibahatisha?

Mnakuwa mmekula nini? Au umetoka kuharisha na kutapika basi kinachokujia kichwani ni kuandika tu.

Leo zinaenda timu 4 cafcl hii kazi ni ya simba.

Yanga ilicheza group stage kwa mara ya mwisho 1998,

Leo Yanga ina umri wa miaka 89 ndiyo kwa mara ya kwanza inaingia robo fainali ya cafcl.

Unaibeza Simba! UNA AKILI KICHWANI WEWE!
 
Hiyo ndio fact na ukweli hivi Simba sc iliyocheza final ya shirikisho mwaka 1993 na yanga iliyobahatika ikacheza mwaka 2023,nani wa kujifunza kwa mwenzake?Simba sc imeingia robo final club bingwa mara 5 na imecheza nusu final mara 1974,na imecheza hatua ya makundi tokea nchi ipate uhuru,yanga hatua ya makundi imechukua miaka 28 na robo final club bingwa ndio kaingia juzi kwa mara ya kwanza mpaka wakazimia...Sasa nani anajifunza kwa mwezake hapo?

Simba sc inawania kucheza kombe la Dunia na ni timu ya 7 kwa ubora barani Afrika ..yanga ni timu ya 27,sasa nani ajifunze kwa mwenzake hapo?ni wazi yanga ndio anajifunza kwa Simba sc
Kwamba Simba ilicheza 1993, na yanga ikabahatisha 2023..!! Kweli nyie mbumbumbu FC a.k.a wala ngada
 
Nasikiliza hapa wapi yaani ni kujitafuta tu kila mahali. Sasa Yanga sa ameingia fainali last year CAF CONFEDERATION CUP je simba kafika? Yanga kaingia robo kwa kishindo kikubwa je Simba alishafanya hivyo au kipapatupapatu.

Ongezea najua mnakuja kasi na mawe
Simba hajawahi kucheza fainali etie. Utoto unakusumbua sana.
Screenshot_20230531-161256.jpg
View attachment 2917925
 
Back
Top Bottom