Recent content by Mtanzania No.1

  1. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mlipuko wa bomu Wilayani Ngara waua Wanafunzi 05, zaidi ya 45 wamejeruhiwa

    Nikweli na kwa taarifa zaidi washafika wa 5 na majeruhi ni kumi na nane.
  2. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje nikikimbia kwa speed kali zaidi ya mwanga?

    Ngamia aliyeongelewa kwenye biblia sio huyo mkuu.
  3. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari

    Kwa hatua hii tumpongeze mkuu wa mkoa wa DSM kwa ngazi yake ameanza vizuri ktk vita hii ya madawa ya kulevya. Kikubwa inatakiwa aungwe mkono na watanzania wote wazalendo na vyombo vingine vyote vya serikali. Yeye ameamua kuanzia kwa mteja na kama hao aliowataja wakitumika vizuri tutamjua mchawi...
  4. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    Big up.
  5. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

    Afadhali umweleweshe ndugu yetu na mfano mrahisi ni ishu ya Israel kujenga kwenye makazi ya Palestine, UN wametoa katazo Marekani wanasapoti sasa hapo nani mwenye nguvu, hizo nyingine ni stori tuu kama ulivyosema Mkuu. Kikubwa tusiombee vikwazo watakao umia ni wananchi wa kawaida na ndivyo...
  6. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Madawa ya kulevya; Serikali kama ina nia ya dhati kutokomeza ianzie hapa kwa sasa!!

    Kwa jinsi nilivyomuelewa mtoa mada hajamaanisha hela ya serikali itumike kwa wala Unga, bali hao vijana walioathirika watumike kuwabaini wauzaji vivyovivyo back wise hadi kuwapata importers. Na kwa kuongezea wakishabainika na kuthibitishwa wafanyiwe kile anachofanya Rais wa Philippines ndugu...
  7. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

    Mkuu makala iko vizuri sana. Big up@ The Boss
  8. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Tozo ya zuio(withholding tax) kwa wapangaji

    Mkuu witholding tax inalipwa na anaelipa na si anaepokea.Nikupe mfano kukusaidia Halmashauri wakimlipa mzabuni wanakata hiyo WHT, vivyo hivyo mwajiri akilipa watumishi wake anakata PAYE ambayo pia ni miongoni mwa witholding taxes.
  9. Mtanzania No.1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

    Huna Jipya!
  10. Mtanzania No.1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

    Kwa kuwa ww unafahamu zaidi ya waliofanya maongezi Ikulu tuwekee hapa hayo masharti aliyopewa Mhe.Rais.
  11. Mtanzania No.1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

    Kweli kabisa mkuu hiyo ni habari njema.
  12. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

    Mdini na Mkabila ni wakuogopwa kama Ukoma.
  13. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

    Mdini, Mkabila ni wakuogopwa kama Ukoma. Hili hata kwenye katiba hatupaswi kulifikiria. Serikali haina Dini.
  14. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti kinakodishwa

    Weka picha
  15. Mtanzania No.1

    JamiiForums Tanzania Kwanini sherehe za harusi hazilipiwi TRA wakati ni pesa za umma?

    Harusi sio biashara, bali wanaotohuduma katika hizo harusi ndio wanafanya biashara na hao ndio wanatozwa kodi.Harusi haijirudii bali watoa huduma katika maharusi wataendelea na biashara yao na hao ndio wanapaswa kulipa kodi.
Back
Top Bottom