Kwa mujibu wa sheria anayetakiwa kulipa kodi hii ni mwenye jengo kwa maana ya mmiliki, hili suala la mpangaji kupeleka tra kodi hiyo na kuhakikisha anarudishiwa na mmiliki wa jengo binafsi naona c sahihi kwa sababu itajenga uhasama kati ya mmiliki na mpangaji, hapa kumbuka mpangaji na mmiliki hawana elimu kuhusu kodi hivyo ni mzigo mkubwa anaopewa mpangaji ku hakikisha anamshawishi mmiliki kwa kumpa elimu ya kodi hiyo mpaka pale atakapomuelewa ndipo amrudishie. Wao tra w huwa wanasema ukimwambia mmiliki na akikataa kukurudishia kodi hiyo basi wape taarifa ili washughulike nae wao (wafanya biashara wanajua hili), sasa hapa tafsiri yake ni kwamba umemchongea mmiliki tra. Hili la kutaka wapangaji wazuie 10% lina changamoto kwenye utekelezaji na cdhani km litafanikiwa kwa sababu zifuatazo.
1) Kila mpangaji atatakiwa kuwa na TIN No
2) Kila mpanga atatakiwa kupata seminar juu elimu kwa mlipa kodi kwa ajiri ya kutoa elimu hiyo kwa mmiliki
3) Uandaliwe utaratibu wa namna ya kumuondoa mpangaji ambae ameshajenga na kahamia kwake kwenye huu mfumo.
4) Namna ya kumfanya mmiliki kuwa na leseni ya biashara ili kudhibiti back market.
Angalizo: Elimu kwa mlipa kodi ni juu yenu nyie tra, acheni uvivu. Hebu kuweni wabunifu juu namna ya kuhakikisha elimu hii inamfikia kila mtu.